Ushoga: Je wote wataitwa mashoga?

Ushoga: Je wote wataitwa mashoga?

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
5,904
Reaction score
4,667
Habari ya Ijumaa wakuu!

naomba kueleweshwa hivi hawa wenzetu waliochagua mtindo wao wa kuoana/kutumiana/kuvunjiana utu wao huku wakiwa ni jinsia moja (same sex couple/gays a.k.a mashoga au mabwabwa au mambo safi au most popular "WALIBERALI"; ni yupi hasa kati yao wawili anayekuwa MLIBERALI?
gay_parents.jpg


au kwa maana nyingine, najiuliza haya:

1. kati ya hao wanaume wawili, MLIBERALI ni yule anayeinamishwa (mtendwa) pekee? au hata yule anayemwinamisha mwenziye (mtenda).
Michael_Scofield.jpg

mfano, huyu kajitangaza yeye ni gay lakini je ni "mume" au "mke"?

2. kama shoga ni yule "mke" (mtendwa) tu, mbona katika kudai hizo wanazoita "haki" sijawahi kuona hao waume zao?
na kwa kuwa sheria zetu haziruhusu huu ushenzi, ni yupi atakayekuwa condemned as a GAY?

3. kama wote wataitwa mashoga(waliberali; hivi hakuna wakati hata huyo "mke" (mtendwa) anamtamani huyo mwenza (yaani naye awe mume kwa wakati fulani?) AU huyo "mume" (mtenda) hakuna wakati anatamani kufanyiwa anachomfanyia mwanaume mwenzie!

4. kuhusu orgasm; hivi yule "mke" (mtendwa) anafika kileleni kwa mtindo huu wa kawaida (ejaculation)? au anabakiwa na fiction kichwani tu!

5. In case wamefanya adotion ya mtoto nani kati yao will asume mother's resonsibility and vice vesa!

NB:
am just curious!
 
  1. gay means attracted to other men
  2. 2&3 irrelevant
  3. 4 read mwenyewe
  4. 5; Daddy+papa+son/daughter
:lol: at the prison break fans
 
Back
Top Bottom