Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

Original picture
FB_IMG_1650935365717.jpg
 
Kama siri ya Simba kwa Mkapa ipo kwenye mambo haya tunapaswa kuwaiga, tena sisi tulete wachawi kutoka Gambia kabisa.

Simba haijafika robo final mara tatu kwa sababu ya uwezo wa kucheza mpira, kama kitu kinaleta mafanikio kina ubaya gani?

Hivi kwanza kuna watu wanapenda ushirikina kuwazidi hao Wazulu?

Au hujui kazi ya Uganga wa kienyeji Sangoma ni bonge la dili South Africa?

Halafu utakuta watu kama wewe una chale mpaka matakoni na kiunoni una hirizi linapumuwa kabisa.
Hirizi ikipumua si inaondoa Uhai kabia?
 
Kila linalofanywa na binadamu Nyani huona kama ni uchawi. Hakuna uchawi unaofanyika hadharani . Kuweni na akili. Luc Eymael hakukosea kuwaita Manyani.
 
Sio tu ilijambo ni la kushangaza katika mashindano ya klabu bingwa ya Africa ngazi ya robo fainali Tena likiwa na Live coverage Bali linahitaji roho ya kichawi yenye uzoefu wa kiwango Cha juu sana.
Ikiwa Yale yamefanyika hadharani Sasa uko gizani uwa wanafanya Nini?
Maana ata timu zetu za ligi kuu apa Tanzania hazijawahi kufanya upuuzi huu.
 
Mambo ya Simba na Orlando yameshapita subiri jumamosi utalala na viatu.

20220418_154541.jpg
 
Acha ushamba na ulimbukeni hiyo ni imani kama ilivyo imani yenu ya mitume na manabii... Ama ya Mohamed... Nchi haina Dini...
 
Kama siri ya Simba kwa Mkapa ipo kwenye mambo haya tunapaswa kuwaiga, tena sisi tulete wachawi kutoka Gambia kabisa.

Simba haijafika robo final mara tatu kwa sababu ya uwezo wa kucheza mpira, kama kitu kinaleta mafanikio kina ubaya gani?

Hivi kwanza kuna watu wanapenda ushirikina kuwazidi hao Wazulu?

Au hujui kazi ya Uganga wa kienyeji Sangoma ni bonge la dili South Africa?

Halafu utakuta watu kama wewe una chale mpaka matakoni na kiunoni una hirizi linapumuwa kabisa.
Naunga mkono hoja
 
Kuna mambo mengine mtu unaweza kuyapenda lakini inabidi uyafiche kidogo unapokuwa nje ya nchi.

Hao orlando pirates ni mechi ipi nje ya nchi yao wametambika uwanjani kama huo upuuzi waliofanya simba.

uje na facts, so stori
Ufiche nini wakati ni imani kama imani zingine... Au wewe unaficha msaafu ama Quran
 
Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.

Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.

Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ?

Hiki kilichofanyik ni kinyume kabisa na mashabiki wanaowaombea misikitini na makanisani.

Off course tunajua Africa kuna mambo ya kihirikina lakini hata hayo mambo hufanyika kwa siri, inakuwaje nyie mfanye huu ushirikina hadharani,

alafu bila aibu mnasingizie ni "mindgame", hio mindgame gani inahusisha nguvu za giza ?

View attachment 2200002
Mfa maji….
 
Hii mechi sikuichek kumbe walifanya huu upupu 😐😐😐😐
Nigerians wanaosifika kwa mambo haya wanafikaga world cup lkn hawajawah kufanya hv uwanjan
 
Back
Top Bottom