Inawezekana kabisa akajua ngoja jichawi aje na ufafanuzi yakinifuMshana.....vipi kuna MTU aliwahi kunipa story kuwa alifungwa kizazi kwa nguo yake ya ndani ....baada ya kuchukuliwa alafu ikaenda kufanyiwa mambo hakuwEza kabisa kupata mtoto...baadae akaenda kwenye kamati za ufundi ile chupi ikavutwa na kisha ikanyunyuziwa dawa na baadae anadai alipata mtoto...
Swali je baada ya ile nguo kuvutwa yule aliyemfanyia hivyo hujua au??
Kuna majeshi yanatumwa kuirejesha maana ikiwa kule bado itakudhuru hasa ile iliyovaliwa na haikufuliwa.Mchana Jr......hivi MTU anapochukua nguo ya ndani ya MTU huwa ana kwenda kuifanyia nini.....na kama atafanya mambo je njia sahihi ya kutegua ni IPI.....
Tena huko ndio balaa kabisa maana mashekh ndio wataalamu.Mshana jr acha kuamini ushirikina.. Njoo katika uislamu umjue Mungu wa kweli. You still have a chance. Your life.your choice.
Ntaitupia picha ya hyo kitu mda so mrefu....Kuna majeshi yanatumwa kuirejesha maana ikiwa kule bado itakudhuru hasa ile iliyovaliwa na haikufuliwa.
Wanajua sana tu maana huwa wanaweka hata ulinzi wa nyoka wakali. Lakini wataalamu huwapumbaza wake nyoka na kuondoka na kile walichofuata.Mshana.....vipi kuna MTU aliwahi kunipa story kuwa alifungwa kizazi kwa nguo yake ya ndani ....baada ya kuchukuliwa alafu ikaenda kufanyiwa mambo hakuwEza kabisa kupata mtoto...baadae akaenda kwenye kamati za ufundi ile chupi ikavutwa na kisha ikanyunyuziwa dawa na baadae anadai alipata mtoto...
Swali je baada ya ile nguo kuvutwa yule aliyemfanyia hivyo hujua au??
Dah jichawi umenifurahisha na hii post yako .Hapa kuna mengi yaliyojificha yanayopelekea hali hiyo mahospitalini
1) kutokana na kuwa ni sehemu yenye mazingira rafiki kwa wachawi na majini kwa ujumla (kama vile damu, viungo vya mwili nk)
2) kumekuwa pia makao ya viumbe tofauti pia kwa kufurahia vyakula vinavyopatikana hapo
3) wengine wamelazwa hospital ila maradhi yao ni ya nguvu za giza na mda mwengine wale wachawi/majini waliodhamiria kumdhuru humfuata huko huko kummalizia
Hizo ni sababu zinazopelekea kuingiliana kwa mambo ya nguvu za giza na tiba ya hospital.
Wakati mwengine mgonjwa anaweza kuwa amechangamka vizuri na yupo karibu na kuruhusiwa, ila ghafla anaweza kuzidiwa hadi wauguzi wasielewe amepatwa na nini........ila katika anga la hospital mara nyingi hutawala nguvu za kiroho ambazo lengo ni kuharibu iwe kwa kutumwa au kukusudia tu.
KWENDA NA MADAWA NDIYO SULUHU?
Hapana, Mungu ndiyo Muweza wa yote hivyo tumuombe kwa nia atuondolee mitihani.
Hebu fafanua hapo kidogo mazingira gani hayawezekani na yapi yanawezekanaKuna mazingira ya kufanya hivyo na kuna mazingira huwezi
Ahsante mkuu.....hivi kuna uhusiano gan kati ya nguo ya ndan na kufunga uzazi....Wa MTU kupitia nguo yake ya ndani....Iwapo aliyemfanyia ni mchawi au mganga, anaweza akajua......ila kama ni mtu tu aliyekwenda kwa mganga akafanyiwa shughuli na kuondoka hawezi akajua.
Ila sasa ikitokea akaona aliyoyakusudia yamekwenda sivyo, kama bado ana chuki anaweza akarudi kwa mtaalam kuchunguza kilichokwamisha.
HUYUU JAMAA ANA AKILI KWELIIAsante kwa ushauri japo una mapungufu mengi lakini bado ni ushauri na nimejali muda wako na mb zako...asante sana
mkubwa simba nifanyie the needful niipate tafadhali
Nakutumia kiongozmkubwa simba nifanyie the needful niipate tafadhali