Hahahhaa Mmh taamu hii kalim
kuu kuna mke nilioa mwaka jana nimempa talaka yeye alikuwa wa dizaini hiyo ila nimempa talaka baada ya mwezi mmoja wa ndoa.kuna wakati aliniambia ooh tufanye mapenzi wewe ukojoe ila mimi sitaki kukojoa.nikaja stuka kumbe anataka manii zangu.umenipiga usoni kabisa
mkuu mshana nimempa talaka tarehe 25 mwezi wa kumi kulingana na visanga nilivyoona,na wiki hii kanivizia sipo kabeba mpaka gunia la deki.sasa hii(nitaomba ufafanuzi wako)baada ya kubeba vya kubeba eti kaniachia mchele kilo mbili ndani.nini lango lake dadavua kidogo hapa.ila mkuu moto uliwakaHahahhaa Mmh taamu hii kali
Huo mchele kawape kuku chukua chumvi mwagia nyumba nzima,mkuu mshana nimempa talaka tarehe 25 mwezi wa kumi kulingana na visanga nilivyoona,na wiki hii kanivizia sipo kabeba mpaka gunia la deki.sasa hii(nitaomba ufafanuzi wako)baada ya kubeba vya kubeba eti kaniachia mchele kilo mbili ndani.nini lango lake dadavua kidogo hapa.ila mkuu moto uliwaka
nilishafanya mpaka nampa talaka alishakiona cha moto ninachotaka kujua alidhamiria nini.mkuu nilioyaona kama sio kuamini vitu tofauti ningekuwa mtaani na boksa na tai tu.Huo mchele kawape kuku chukua chumvi mwagia nyumba nzima,
Kuroga kwingi hakuna faida yoyote zaidi ya kukomoana kulipiza visasi roho mbaya wivu Chuki kijicho roho ya kwanini na upuuzi mwingine mwingi tu
Ni mbinu gani nzuri isiyo na madhara kujikinga na wasengerema hawa?Ni uumbaji wa Mungu toka sayansi ya giza, huu ni ufalme wa shetani
Kuna dada mmoja alikuwa mjamzito, siku ya kujifungua ilipofika mtoto alifia tumboni. Lakini baada ya miezi kadhaa bibi yake alimwambia kuwa mwanae yupo na analelewa na wachawi na akatakiwa aende kwa mtaalamu ili arudishwe. Akakataa kwa sababu hakuamini,,,,,,,,,,hii inaweza ikawa sawa na hii unayoizungumzia??? Mshana Jr....Ni imani zenye uhalisia kuna kundi kubwa sana la watoto wachawi na washirikina.. Tena mahiri hasa Jiulize katika umri ule kajifunza au kafunzwa saa ngapi? Tena yuko daraja la juu! Kumbuka Uchawi na ushirikina pia vina madaraja
Nimecheka sana hii kitu umeandika duh...mkuu mshana nimempa talaka tarehe 25 mwezi wa kumi kulingana na visanga nilivyoona,na wiki hii kanivizia sipo kabeba mpaka gunia la deki.sasa hii(nitaomba ufafanuzi wako)baada ya kubeba vya kubeba eti kaniachia mchele kilo mbili ndani.nini lango lake dadavua kidogo hapa.ila mkuu moto uliwaka
NINI KIMEKUCHEKESHA MKUUNimecheka sana hii kitu umeandika duh...
Naelewa kila jambo ila kufanya maamuzi ndyo ishu, watu wangu wakaribu wanani tegemea sana wana amini mimi ni mwongozo na nnawa saidia wanapo kuwa na shida lakini mambo yangu binafsi sina uwezo wakuya fanya.Yaah....wachawi wakichukua Ufahamu wako kila unachofanya unafanya kwa maelekezo yao.....Ukishaharibikiwa hutaki kuamini kama ww ndio umefanya mambo hayo
Mganga hajigangiNaelewa kila jambo ila kufanya maamuzi ndyo ishu, watu wangu wakaribu wanani tegemea sana wana amini mimi ni mwongozo na nnawa saidia wanapo kuwa na shida lakini mambo yangu binafsi sina uwezo wakuya fanya.
Hapa tatizo nini?
Hilo nalo neno, ila nafikiri mganga ana weza tibiwa.Mganga hajigangi
Can you act like petrol ⛽ station, nijaze mafuta.Tatizo ni nafsi... Kwani hujawahi kuona tanker la mafuta likishindwa kujijazia mafuta?
Tatizo ni ufahamu wako ukichukuliwa huwezi kufanya jambo likafanikiwa moja kwa moja....Utakuta una mawazo mazuri sana...na ukimwambia MTU kama ni wazo la Biashara akilifanyia kazi anafanikiwa fasta....lkn ukilitumia mwenyewe hufanikiwi Mambo ya Ulimwengu wa Roho ni Magumu sanaNaelewa kila jambo ila kufanya maamuzi ndyo ishu, watu wangu wakaribu wanani tegemea sana wana amini mimi ni mwongozo na nnawa saidia wanapo kuwa na shida lakini mambo yangu binafsi sina uwezo wakuya fanya.
Hapa tatizo nini?