Elections 2010 Ushindi wa Mahanga wapingwa!

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Ushindi mwembambaa alioupata hadi sasa aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Makongoro Mahanga kwenye kura za maoni katika Jimbo jipya la Segerea umepingwa na wagombea wote 11 wa jimbo hilo.

Inasemekana Mahanga kutoa rushwa, kuingiza kadi mpya za wananchama mamluki na wizi wa kura katika kata mbalimbali jimboni humo. Mpaka sasa kata mbili za Kipawa na Kiwalani matokea yake hayajatangazwa.

Hivi huyuu Mahanga si ndo anafaa kwa wapinzania kumburuza kiulaini kwani rekodi yake ni mbofuuu sana kiutendaji ndani ya Miaka 10 ya ubungee..Segerea mpooooooooooo.....
 
Mwache altewe huyo ndio mzuri wala wasimtoe huyo wamwache huyo huuyo tuwaleete democracia halisi segerea
 
Hahahha, mi nakaa maeneo hayo, lakini huyu jamaa Mahanga ni miyeyusho kwenda mbele! Barabara ile inavyosumbua utadhani haoni. Hata ile back up ya kuvuka reli nayo inamshinda kuipigia kelele hadi waweke hata moramu jamani! Makongoro anatufaa huyo ni nyama yetu kama atapita CCM inakula kwao.
 
Naomba vikao vya juu CCM wamwachee huyoo Mhangaaa ilii tuwezee kufanyaa mabadilikoo Segereaa..jamanii keroo zetuu hukuu jamaa kaziba masikio na machoo..hatutaki viongozii wakutongozaa tuu wake zetuu kwenye pub!!!!
 
Hahahha, mi nakaa maeneo hayo, lakini huyu jamaa Mahanga ni miyeyusho kwenda mbele! Barabara ile inavyosumbua utadhani haoni. Hata ile back up ya kuvuka reli nayo inamshinda kuipigia kelele hadi waweke hata moramu jamani! Makongoro anatufaa huyo ni nyama yetu kama atapita CCM inakula kwao.

Yeye haishi Segerea....kwa kuwa ni waziri anaishi Masaki sasa kwa nini barabara imsumbue?
 
Lete kitu inaitwa Makongoro...CHADEMA hapo wana JIMBO tayari...
 
Makongoro ambaye anamwakilisha Rostam Azizi hapa Dar lazima atapitishwa na CCM, mpende msipende lakini kiboko yake ni upinzani uliotukuka. Mleteeni Mpendazoe huku Segerea jamani.
 
Mahangaa hana lolote ameamua kuwa kibaraka wa akina RA lakini badoo hatafanikiwaaaa
 
Naomba vikao vya juu CCM wamwachee huyoo Mhangaaa
Hata kama kashinda kwa michezo michafu napenda Tume au Mahakama ndio ibatilishe matokeo, si CCM.

Ukiruhusu vikao vya chama vimtoe Mahanga, usikarike vikao vya chama vikimchomeka Malecela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom