Ushindi unakuja CHADEMA

Siasa za kitoto sana . Yule dc alikwenda wapi na alikuwa na nani?
Kwani DC ni kiongozi wa nchi au wilaya. Ona hii nyumbu imeshindwa kuvuka mto kwa kuwaiga nyumbu wenzie waliyotangulia.
 
Kwani DC ni kiongozi wa nchi au wilaya. Ona hii nyumbu imeshindwa kuvuka mto kwa kuwaiga nyumbu wenzie waliyotangulia.
Hivi huwa unajisikiaje kuita binadamu mwenzako aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu Nyumbu?
Kwamba unamkosoa Mungu kumuumba kuwa Binadamu?
Jenga hoja acha matusi
 
Kwa hiyo unahalalisha unywaji wa Faru John na uliwaji wa pupuchi ya shemeji wa Chadema Mukya na Mwamba kwa uliyoyandika hapo juu,.
 
Mnyaluhala mbona unatukana sasa je huna hoja ya maana kuwapiku wenzako wa oposition?
Utuambie hayo yote uliyotajiwa hayakuonyeshi kuwa unatukana kwa kuwa umeambiwa ukweli mtupu????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…