hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,250
- 26,639
Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na kiteknolojia. Ingawa hoja hii mara nyingine huibua mijadala mikali, ukweli wa kihistoria, takwimu, na mazingira ya kisasa vinaonyesha kuwa Wayahudi wamekuwa na nafasi ya kipekee katika kuathiri mwelekeo wa dunia, hususan katika mataifa yenye nguvu kama Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani.
Lakini nyuma ya historia hii, kuna mizizi ya kiimani ambayo haipaswi kupuuzwa. Kulingana na maandiko ya Biblia, Mungu alimwahidi Ibrahimu kuwa uzao wake utakuwa taifa kubwa, litabarikiwa, na litakuwa baraka kwa mataifa yote.
Katika Mwanzo 12:2–3 tunasoma
“Nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki, na kulitukuza jina lako; nawe utakuwa baraka... na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.”
Ahadi hii ilirudiwa tena katika Mwanzo 17:7 ambapo Mungu alisema
“Nami nitaiimarisha agano langu nawe, na uzao wako baada yako katika vizazi vyao kuwa agano la milele, kuwa Mungu kwako wewe, na kwa uzao wako baada yako.” Kwa hiyo, Wayahudi hujiona si tu kama kundi la kikabila, bali kama warithi wa ahadi za kimungu zinazotawala historia na hatima yao.
Katika historia ya Ulaya, hasa katika Zama za Kati, ukopeshaji wa fedha kwa riba ulikuwa haramu kwa Wakristo. Wayahudi, ambao walikuwa nje ya mfumo wa kanisa la Kikatoliki, waliruhusiwa kufanya biashara hii. Kwa njia hiyo waliweza kukusanya utajiri mkubwa, hasa kwa kuwakopesha wafalme na malkia. Hatimaye, familia kama ya Rothschild iliibuka kama nguvu ya kifedha isiyopingika. Mayer Amschel Rothschild alianzisha mtandao wa kifamilia katika miji mikuu ya Ulaya London, Paris, Vienna, Naples na Frankfurt na kuanzisha mfumo wa kifedha wa kimataifa. Kauli yake maarufu ilikuwa: “Nipe udhibiti wa fedha za taifa, sitajali ni nani anaandika sheria zake.”
Kwa upande wa Marekani, Wayahudi walihusika katika kuanzishwa kwa Federal Reserve mwaka 1913, benki kuu ya taifa ambayo kiuhalisia ni taasisi binafsi. Wamiliki na wateuzi wa magavana wake ni mabenki binafsi, mengi yao yakiwa yanahusishwa na jamii ya Kiyahudi kama Goldman Sachs, Kuhn Loeb, Warburg na wengineo. Kwa miaka mingi, magavana wa benki hiyo wamekuwa Wayahudi, wakiwemo Alan Greenspan, Ben Bernanke, Janet Yellen na Jerome Powell (ambaye ameoa katika familia ya Kiyahudi).
Rais wa Marekani hana mamlaka ya moja kwa moja kumteua gavana wa Federal Reserve, jambo linaloonyesha ni kwa namna gani taasisi hii inavyojitegemea na kushikiliwa na nguvu zisizo za kisiasa moja kwa moja.
Katika nyanja ya habari, Wayahudi wanatajwa kuwa na ushawishi mkubwa. Familia ya Sulzberger inamiliki The New York Times; CNN inamilikiwa na mashirika ya Time Warner ambayo yana uhusiano mkubwa wa Kiyahudi; NBC, ABC, na CBS zote zina uongozi wa Kiyahudi katika ngazi ya juu. Joel Stein, mwandishi wa Los Angeles Times, aliandika: “Wayahudi wanamiliki Hollywood. Kuna ubaya gani?” Hii inasisitiza kuwa jamii ya Kiyahudi ina nafasi kubwa katika kusambaza simulizi (narrative) duniani.
Mitandao ya kijamii nayo haijasalimika. Facebook (Meta) ilianzishwa na Mark Zuckerberg, Myahudi. Google ilianzishwa na Sergey Brin (Myahudi), na huduma zake zote kuu kama YouTube na Gmail zimo chini ya Alphabet Inc. TikTok katika soko la Marekani linasimamiwa na kampuni ya Oracle, inayomilikiwa na Larry Ellison – Myahudi. Hii inamaanisha kuwa mifumo ya mawasiliano duniani iko chini ya ushawishi wa watu au mashirika ya jamii ya Kiyahudi.
Kwenye siasa za Marekani, kundi la AIPAC (American Israel Public Affairs Committee) lina nguvu kubwa. Wanasiasa wote wanaotaka kushinda wanahitaji baraka kutoka kwa AIPAC. Rais Barack Obama aliwahi kusema: “Mimi si Myahudi, lakini watu wakisema hivyo nachukua kama sifa.” Kauli hii inaonyesha namna ambavyo siasa za Marekani zimefungwa kwa karibu na maslahi ya Israeli.
Hata katika nyanja ya vita, Wayahudi wamehusishwa na ushawishi wa Marekani katika migogoro mbalimbali kama Iraq, Afghanistan, Syria na Iran. Israeli hupokea msaada wa kijeshi kutoka Marekani wa zaidi ya dola bilioni tatu kila mwaka. Lobi ya Kiyahudi imefanikiwa kuhakikisha kuwa sera za Marekani zinalinda maslahi ya Israeli, hata kama zinapingwa kimataifa.
Kauli za viongozi wa kimataifa pia zimewahi kuthibitisha nguvu hizi. Shah wa Iran, Mohammad Reza Pahlavi, aliwahi kunukuliwa akisema: “Wayahudi wana nguvu. Wanashinikiza. Wanamiliki media, benki... sitaki kusema zaidi.” Henry Ford naye alisema: “Ni bora watu wasielewe mfumo wetu wa kifedha, kwa sababu wakielewa, mapinduzi yangetokea kabla ya kesho asubuhi.”
Wakati jamii nyingi duniani zinashindwa kujipanga na kupenya katika mifumo ya kisasa, Wayahudi wamejipanga kwa miongo mingi. Wamewekeza katika elimu, mawasiliano, fedha, teknolojia, siasa na utamaduni. Wakiwa wachache kwa idadi lakini wakubwa kwa mtandao wa kimataifa, wanaweza kuathiri siasa, uchumi, elimu na hata mitazamo ya kidini duniani.
Hii si tu matokeo ya juhudi za kibinadamu, bali pia kwa walio na mtazamo wa kiimani, ni sehemu ya kutimia kwa ahadi za kale za Mungu kwa Ibrahimu na uzao wake. Biblia inaeleza wazi katika Mwanzo 22:18: “Na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umeitii sauti yangu.” Pia Mwanzo 26:4: “Nami nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni... na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia.” Na tena katika Mwanzo 28:14: “Na katika uzao wako jamaa zote za dunia zitabarikiwa.”
Kwa hiyo, mafanikio haya ya Wayahudi katika historia ya mwanadamu si ajali ya kihistoria tu, bali ni ushahidi wa kuendelea kwa mkondo wa kimungu unaoendeshwa kwa uaminifu na Mungu aliyefanya agano la milele. Je, huu ni mpango wa siri wa wanadamu au mpango wa mbinguni unaotimia kimyakimya mbele ya mataifa? Hilo ndilo swali ambalo kila mtafiti wa historia, siasa na imani anapaswa
kulitafakari kwa makini.
Ahadi za Mungu kwa ibrahimu ni hakika
Kwa kutambua ukubwa wa ahadi alizopewa Ibrahimu na nafasi ya kipekee aliyopewa katika historia ya wokovu, baadhi ya jamii hasa Waarabu wa Kiislamu wamejaribu kujinasibisha naye ili kupata hadhi ya kiroho na kihistoria. Hili ndilo linaloeleza kwa nini mafundisho ya Kiislamu yanasisitiza kuwa Ibrahim (Ibrahimu) alikuwa Mwislamu, kwamba manabii wote walikuwa Waislamu, na hata kudai kuwa Muhammad alitokana na ukoo wa Ibrahimu kupitia Ismail. Hili ni jaribio la wazi la kujipendekeza kwa agano la Mungu kwa Ibrahimu, japokuwa msingi wa kihistoria na wa maandiko hauungi mkono dai hilo.
Kwa mfano, Uislamu hudai kuwa.....👇👇
Ibrahimu alijenga Kaaba na Ismail huko Makka
Ismail ndiye aliyetakiwa kutolewa sadaka badala ya Isaka
Manabii kama Musa, Daudi, Suleiman, na Yesu walikuwa Waislamu kwa maana ya ‘waliosilimu kwa Mungu’
Uzao wa Ismail ndio waliobeba urithi wa kiroho wa Ibrahimu
Hata hivyo, maandiko ya awali katika Biblia yanaweka wazi kuwa ahadi za Mungu zilipitishwa kupitia Isaka, si Ismail (angalia Mwanzo 17:19 na 21:12), na ukoo wa wokovu ulitoka kwa Yakobo (Israeli), si ukoo wa Kiarabu. Juhudi hizi za kujinasibisha na Ibrahimu ni uthibitisho kuwa hata jamii zisizo za Kiyahudi zinatambua kuwa baraka ya kipekee iko kwa uzao wa Ibrahimu wa kiagano ambao Mungu mwenyewe aliuthibitisha na kuuenzi milele.