Ushawishi wa CHADEMA Arusha umepungua sana

Salam kwenu wakuu.

Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.

Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.

Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.

uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.

watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.

hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.
Tatizo umeenda kufanya uchunguzi kiushabiki, hata wangeonesha wana mahaba na Chadema ungekataa tu
 
Salam kwenu wakuu.

Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.

Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.

Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.

uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.

watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.

hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.
9c04993a83792501add6c262d29ae0a8.jpg
3bce47b5c7b2ae8dfad2a7570d790d57.jpg
 
Huuu ulikuwa ni mojawapo ya mikutano ya mbunge wa viti maalum wa ccm juzi juzi tu angalia anavyo kubalika pamoja na ccm yake
79ebd4412f22cd1668582bdc07f77124.jpg
87f75c140a33f77dc9db706efa5dbdeb.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unajidanganya wewe humu jamvini na wenye mawazo kama wewe kwamba Tanzania ya jana ndiyo ile ile ya:
1) uzembe kazini
2) ahadi hewa za wana siasa
3) ufisadi
4) rushwa
5) uhuru usio na mipaka
6) haki bila kuwajibika
7) nk

USIPOFANYA KAZI (HALALI) NA USILE

Arusha ililikua kwa misheni 'town' sasa utakuwa kiendelevu
 
Itisheni uchaguzi wowote ndo utajua ushawishi umepungua ama la.
 
Salam kwenu wakuu.

Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.

Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.

Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.

uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.

watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.

hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.
Utafiti wa Phd fake. Km kuna ahadi zilizotolewa n serikali y ccm ineshindwa kutimiza kwa kutokuleta hela ya maendeleo. Hali ya uchumi mbaya , mfuko wa bei wakuulizwa n ccm. Hao wasomi uliowauliza labda ni Mabashite.
 
Salam kwenu wakuu.

Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.

Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.

Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.

uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.

watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.

hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.

umewauliza wazazi wako unafikiri watakupa majibu yapi? nenda mtaani ukaongee na watoto wa arusha
 
We unashangaza sana arusha huijuwe kajipange vzr na tafiti zako hapa unajidanganya tu
 
Salam kwenu wakuu.

Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.

Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.

Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.

uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.

watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.

hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.
Arusha wanatawaliwa na ukabila na ubinafsi ndivyo walivyo tangu enzi za ukoloni walikuwa wanaenda UNO kivyaovyao. Siku moja Mbunge Nassari alijisahau alshimiza wajitenge kanda ya kaskazini. Wanatumia mbinu zote, hawaogopi kitu. Hata binti wa Sokoine walimnyima ubunge alipoambiwa aende Chadema; na juzi tu Lowassa na madiwani na hata mbunge walisusia ibada ya kumbukumbu ya Sokoine kwa vile Sokoine alikuwa RC. Na NGO zao hufadhiliwa Wamasai wa Kenya: hawajali mradi watibue. Na hapa hawatabadilika, ila ni wachache. Dawa ni kuwaonyesha namba tu.
 
Unaongelea chugga the real chugga? Au kijiji flani huko kilichoamua kujiita arusha?
 
Salam kwenu wakuu.

Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.

Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.

Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.

uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.

watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.

hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.
Arusha hata kwa kina magufuli kuna mtaa unaitwa arusha I mean chato
 
Madiwani wetu walisafisha jiji la Arusha likawa safi lkn uhusiano wao na serikali kuu ulipungua baada ya machinga kuruhusiwa kurudi barabarani na kuwa kero kwa wananchi na wafanyabiashara wengine. Ila Chadema bado iko imara na wanachotakiwa ni Halmashauri ya jiji kujenga
yale masoko ya nje CBD haraka ili jiji liwe safi na biashara ndogo zifanyike bila kero kwa wengine.
 
Back
Top Bottom