Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Karibu Arusha mkuu, nitafute leo nikakununulie bia za bure kabisa
Huo utafiti itakua ulifanya ukiwa unakata gogo chooni,istoshe lema huwa unamuwaza sana huyo wa kiumeSalam kwenu wakuu.
Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.
Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.
Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.
uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.
watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.
hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.
sawa fanya party kusherehekea,Salam kwenu wakuu.

Wewe lumumba umepotea bila kujua kuwa umepotea, hebu toa hayo matongotongo yako machoni ili uone ulivyopotea.Salam kwenu wakuu.
Kwa sasa nipo Arusha kwa likizo ya pasaka.
Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu binafsi wa hali ya kisiasa hapa mkoani Arusha nimeona mambo mengi tu ikiwamo kuzidi kupungua kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema.
Baada ya muendelezo wa Ahadi hewa toka upinzani na matarajio yasiyotekelezeka hatimaye Arusha sasa imekua neutral ground.
uchunguzi wangu umegusa cadre zote; kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa na darasa; nikimanisha kwamba nilipita vijiwe vyote vya wadau muhimu hapa mjini; bar, vijiwe vya kahawa mpaka mahoteli ya kitalii.
watu kwa sasa wamejikita zaidi katika kusaka noti ili kuendana na falsafa ya sasa ya hapa kazi tu.
hali hii inamaanisha kwamba Magufuli ameeleweka kwa kiasi kikubwa hapa nchini; na once again Arusha is a neutral ground.
Akili ya wenye stroke .....! Ubongo nao huathirika !huwezi amini ID zote zinazosupport chadema ni za mtu mmoja.
Mssidie afike shivaz akatolewe tongotongo !Wewe ni mgeni karibu Arusha.
Hii ni kubembeleza njaa kwa usingizi.Salam kwenu wakuu.