Kijana wa miaka 7 naishi nae geto mwaka wa pilii huu



.
Nataman kuwekaa picha hapa ninazopiga naye Kila cku tukiwa zetu geto ,tukipika,tukifua,tukiangalia mpira yaan n full burudanii,,
Changamoto niliyonayo n yy ajuagi muda maalumu wa kusomaa anaweza shtuka usingizi saa Saba usiku akawasha taa akaanza kusomaa vitabu vyake mpk achoke ,ss mm akishawasha taa tu usingizi kwisha NAMI kumkataza kutokusoma nashindwa najisemeaga labda akisomaa muda huu ndio anaelewa zaidii


Kiukwel n msela wangu ,n rfk pia n mshikaji...