mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,480
Mkuu ndoa mlifunga ndoa ya aina gani??
Umetoa taraka??
Next time kabla ya kutongozana mtoto wako azungumzwe sanaa..yaani katika story zako na huyo mpnz wako gusia gusia kuhusu mtoto… tatizo unaanza kutongoza kabla ya kujuana na huyo mpenzio