Ushawahi pitia kama hii single father?

Ushawahi pitia kama hii single father?

Habarii hivi ushawahi kupitia hii

Ninaishi na bint wa miaka nane mimi ndio mama nyumbani tupo .

Usiku ninapika chai naiyacha kwenye chupa, asubui mm huwa ninawai kutoka kabla yake namuacha amelala wala simuamshi.

Akiamka anafagia wanja na kuosha vyombo, anakunywa chai na kwenda shule.

Ikiwa yeye atawai kurudi shule kabla ya mm anakula na kwenda sehem nyingine ambayo ni kwa ajili ya masomo ya jioni.

Ikiwa mm nitawai kurudi nitapika chakula cha mchana,

Ikiwa yeye atawai kurudi kuna mazingila nimemtengenezea aweze kula,

Vitu vya muhimu nilivyofanya,

Nina sim ndogo nimeacha ndani ambayo nimejiunga halichachi kwa maana muda wowote anaweza kupiga, nimemuandikia namba,za watu wa karibu ikiwa na dhalula awapigie nimewka funguo nje ili ikitokea amepoteza funguo au aliondoka na kuniacha mm nyimbani akasahau kubeba funguo akija aweze kufungua mlango

Nimeacha pesa ya dhalula ikiwa nimesahau kuacha pesa ya vitafunwa asubui akachukue pale anunue vitafunwa.

Changamoto ninazopitia ni ndogo sana lkn ninamshuku mungu nipo salama na bint yangu na maisha yanasonga,

Nawakaribisha mp kama kuna mwanamke amevutiwa na hii familia aje kuwa mtu wa 3, karibu mp
Nimeumia Sana moyoni,jamani nimeguswaaa mno.Nikakumbuka kuhusu Kaka yangu jamani,alikimbiwa na mkewe,akaachiwa binti wa miaka 6.Usiku kaka akilala shifti kazini mtoto analala peke take chumbani.Ikabidi mama amchukue yule mtoto tumleee.
MTOA POST WEWE HAKIKA UMEJUA KUNILIZA MIMI,UMEJUA KUNITOA MACHOZIII.
 
Mama wa Mtoto yuko wapi?
Wewe huna mdogo wako yeyote wakike au wa kiume wa kuishi nae?
Una mama mdogo au mkubwa?
Huna ndugu yeyote wewe wa kuishi nae msaidizane kulea mtoto huyu?
Why unamtesa mtoto namna hii?
Huyu mtoto hayupo salama kabisa kabisa!
 
Habarii hivi ushawahi kupitia hii

Ninaishi na bint wa miaka nane mimi ndio mama nyumbani tupo .

Usiku ninapika chai naiyacha kwenye chupa, asubui mm huwa ninawai kutoka kabla yake namuacha amelala wala simuamshi.

Akiamka anafagia wanja na kuosha vyombo, anakunywa chai na kwenda shule.

Ikiwa yeye atawai kurudi shule kabla ya mm anakula na kwenda sehem nyingine ambayo ni kwa ajili ya masomo ya jioni.

Ikiwa mm nitawai kurudi nitapika chakula cha mchana,

Ikiwa yeye atawai kurudi kuna mazingila nimemtengenezea aweze kula,

Vitu vya muhimu nilivyofanya,

Nina sim ndogo nimeacha ndani ambayo nimejiunga halichachi kwa maana muda wowote anaweza kupiga, nimemuandikia namba,za watu wa karibu ikiwa na dhalula awapigie nimewka funguo nje ili ikitokea amepoteza funguo au aliondoka na kuniacha mm nyimbani akasahau kubeba funguo akija aweze kufungua mlango

Nimeacha pesa ya dhalula ikiwa nimesahau kuacha pesa ya vitafunwa asubui akachukue pale anunue vitafunwa.

Changamoto ninazopitia ni ndogo sana lkn ninamshuku mungu nipo salama na bint yangu na maisha yanasonga,

Nawakaribisha mp kama kuna mwanamke amevutiwa na hii familia aje kuwa mtu wa 3, karibu mp
Nimetumia Sana moyoni,jamani nimeguswaaa mno.Nikakumbuka kuhusu Kaka yangu jamani,alikimbiwa na mkewe,akaachiwa binti wa miaka 6.Usiku kaka akilala shifti kazini mtoto analala peke take chumbani.Ikabidi mama amchukue yule mtoto tumleee.
MTOA POST WEWE HAKIKA UMEJUA KUNILIZA MIMI,UMEJUA KUNITOA MACHOZIII
Shida sio kujua mtoto ndio kipaumbele,
swali langu huyu mtoto awe wetu mm na ww alafu itokee awe tabia yeyote mbaya je utaondoka nyumbani. Utashauli nimfukuze mtoto wa miaka 8 jaribu we kuwa mm kwanza ,
Nimekuelewa saaaana.Yalishamkuta Kaka yangu hayo mapito yako.sema bintiye alikuwa na 6years.
Huwezi kumtoa mtoto kisa mwanamke.Halafu NI malezi TU kukalea hakooo na kukichukulia Kama mtoto wako TU.
 
Hapo solutions sahihi ni:
1.Kama Bibi ake yupo na bado ana nguvu mpe amlee huku ukimtembelea Mara kwa Mara.

2.Tafuta binti wa kazi..
Either muishi naye hapo pamoja au binti huyo pamoja na mtoto wakaishi na Bibi mtoto yaani mama ako wewe.

Usithubutu KUOA .
 
Mama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,

Mama yake ni muhangaikaji leo yupo Dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo Mbeya ,

Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
Uko wapi mkuuu,???Lea huyo Samia wa keshoo huyooo.
Sijui daktari,sijui engineer,sijui nurse,sijui waziri wa wizara ipi.Watu wanatafuta watoto,halafu duuuuuuuuuu!!!!
 
Good life lakini it is better ukawa na dada wa Kazi hapo nyumbani kwa ajili ya kufanya shughuli mbili tatu hapo nyumbani .
Mwamba hua unapoint snaa karibia maeneo mengi.aweke mdanyakazi wandani nihatari kuishi yy nabinti wamiaka nane halafu aseme kua wako vizuri tu niulongoo.huyo mtoto yuko prone naukatili aidha hata wigo wake wakucheza nakufanya harakati za kitoto anabaniwa kutokana na setting aliyopo.
 
Binafsi ningekushauri ongeza mtu wa tatu hata kama ni housegirl au dadaako ukae nae,licha ya kwnza mtoto anahitaji uangalizi lkn pia anahitaji mtu wa kumsaidia vitu vingine zaidi ya ww,mida mwingi haupo naye!!
 
Una options kadhaa mkuu:
1. Tafuta msaidizi, sio lazima awe analala hapo, ila aje asubuhi ahakikishe mtoto amekula na kwenda shule, apike na kusubiri mtoto arudi shule.
2. Tafuta mwanamke uoe, ili msaidiane kwenye malezi ya mtoto wako.
3. Mpeleke kwa bibi/shangazi yake hadi atakapokuwa mkubwa kadogo.

Trust me, hayo sio malezi na usipoangalia utakuja kujuta very soon!
 
Ndugu ata mm same tu na we,,,single father,,mama ake Ni wale haki sawA yan leo Moro kesho iringa,,katka kitu nawashaul wanaume wenzangu,,kizur Ni kizur,ila chenye ubora pia nacho nibora,,ukiamua kutoa upwilu toa,ila ikifka time ya kutafuta familia bas kuanza upya si ujinga kabisaa,,
 
Nakupongeza sana kwa ujasiri ulionao wa kuishi na binti yako, nawaombea amani na upendo na binti akue katika maadili mema,

Nakushauri usioe kwa sasa hadi binti afike walau miaka 15, umri huo atakua anajitambua angalau na kuweza kuhimili mikiki ya mama wa kambo, ukimleta mwanamke sasa hivi kwenye maisha yenu atawavuruga sana na mtoto atakuchukia,

Wanaosema umpeleke kwa bibi au ndugu ni waoga wa maisha na wengi hawajasettle, mzazi anayejitambua lazima apende kuishi na mwanae na kuona hatua zote za ukuaji wake.
 
Hebu fikiria zaidi mtoto wa miaka 8 na hiyo life style. Kuna hatua huyo mtoto anarushwa rushwa.
 
Hebu fikiria zaidi mtoto wa miaka 8 na hiyo life style. Kuna hatua huyo mtoto anarushwa rushwa.
Angekua anaishi na mama yake ungeisema hiyo life style? Kikubwa akue kwa amani chini ya uangalizi wa mzazi wake na sio kwenda kumtupa kwa ndugu akanyanyasike
 
Mama yake yuko? Mapenzi ya mama kwa mtoto wa miaka yake ni muhimu sana. Hujatupa upande wa mama yake ni nini kilitokea, story ni kama ya upande mmoja. Kwa maslahi ya binti yako
Don’t think about kuleta mtu wajinsia tofauti na ww ilimuishi soon utakuja nauzi mwingine not sure why ila wamama hawapendi watoto ambao sio wao sio wote ila majority hawapendi kabisa hio kitu.fo the sake of a child muache akue kwanza huyo mama yake unaemtaka kutaneni nje ya nyumba
 
Habarii hivi ushawahi kupitia hii

Ninaishi na bint wa miaka nane mimi ndio mama nyumbani tupo .

Usiku ninapika chai naiyacha kwenye chupa, asubui mm huwa ninawai kutoka kabla yake namuacha amelala wala simuamshi.

Akiamka anafagia wanja na kuosha vyombo, anakunywa chai na kwenda shule.

Ikiwa yeye atawai kurudi shule kabla ya mm anakula na kwenda sehem nyingine ambayo ni kwa ajili ya masomo ya jioni.

Ikiwa mm nitawai kurudi nitapika chakula cha mchana,

Ikiwa yeye atawai kurudi kuna mazingila nimemtengenezea aweze kula,

Vitu vya muhimu nilivyofanya,

Nina sim ndogo nimeacha ndani ambayo nimejiunga halichachi kwa maana muda wowote anaweza kupiga, nimemuandikia namba,za watu wa karibu ikiwa na dhalula awapigie nimewka funguo nje ili ikitokea amepoteza funguo au aliondoka na kuniacha mm nyimbani akasahau kubeba funguo akija aweze kufungua mlango

Nimeacha pesa ya dhalula ikiwa nimesahau kuacha pesa ya vitafunwa asubui akachukue pale anunue vitafunwa.

Changamoto ninazopitia ni ndogo sana lkn ninamshuku mungu nipo salama na bint yangu na maisha yanasonga,

Nawakaribisha mp kama kuna mwanamke amevutiwa na hii familia aje kuwa mtu wa 3, karibu mp
Akivunja ungo itakuwaje, mpeleke kwa bibi yake.Unamharibu huyo mtoto na wewe unajiweka katika mateso yasiyo na faida na jamii inakushangaa sana ipo siku itakugeuka na hautaamini. " Baba alala kitanda/chumba kimoja na binti yake aliyebalehe kwa miaka 2"
 
Kijana wa miaka 7 naishi nae geto mwaka wa pilii huu .
Nataman kuwekaa picha hapa ninazopiga naye Kila cku tukiwa zetu geto ,tukipika,tukifua,tukiangalia mpira yaan n full burudanii,,

Changamoto niliyonayo n yy ajuagi muda maalumu wa kusomaa anaweza shtuka usingizi saa Saba usiku akawasha taa akaanza kusomaa vitabu vyake mpk achoke ,ss mm akishawasha taa tu usingizi kwisha NAMI kumkataza kutokusoma nashindwa najisemeaga labda akisomaa muda huu ndio anaelewa zaidii

Kiukwel n msela wangu ,n rfk pia n mshikaji...
Mtoto wa miaka 7anasoma saa Saba ya usiku anasoma Nini?anafanya degree?
Mtoto wa miaka saba mwisho kusoma ni saa 12 jioni akishamaliza homework zake
 
Mtoto wa miaka 7anasoma saa Saba ya usiku anasoma Nini?anafanya degree?
Mtoto wa miaka sana mwisho kusoma ni saa 12 jioni akishamaliza homework zake
Kwa hyo mkuu nimkatazee au??namwacha asome hataa akiamua kukeshaa maana nikitu inaonekanaa anapendaa ...na mpaa uhuru Zaid ktk Ili na kwann alale saa kumi na mbili amekuwa kuku Kwan??
 
Kwa hyo mkuu nimkatazee au??namwacha asome hataa akiamua kukeshaa maana nikitu inaonekanaa anapendaa ...na mpaa uhuru Zaid ktk Ili na kwann alale saa kumi na mbili amekuwa kuku Kwan??

Sio malezi hayo mkuu… saa 2 mtoto anatakiwa awe amelala saa 12 aamkeee ajiandae kwenda shule

Miaka 7 mtoto ni mdogo mno

Hebu tafuta mama ake hiyo sio nzuri
 
Kuna kesi huku katoto Ka miaka 8 kamebakwa na bodaboda…. Wazazi endeleeni kuwalinda watoto wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom