Ni ngumu kwa sana kwa mama wa kambo kumpenda mtoto asiye wake. Hii kitu sikia tu kwa wengine. Tena mbaya zaidi ukute huyo mama wa kufikia hana mtoto. Naanza kukuelewa mkuu. Story saingine ikiwa nusu ni rahisi mtu kuhukumu
Hili nalo linamataMara nyingi inatokea ikiwa mwanaume hana maokoto
Ukiwa na maokoto mwanamke atakupenda na kizazi chako chote
Inaonekana upo tayariHuyo mwanao ana tabia gani mbaya?
Tatizo ni usalama wa mtoto hana ulinziMwanamke atakuvuruga na mtoto wako.
Sijui lkn ni mawazo yangu.
Upo vizuri mkuu.
Basi sawaTatizo ni usalama wa mtoto hana ulinzi
Wapo lkn nimewaambia subilin kwa sasa sina changamoto ambayo binafsi ninaona nimtoe dogo ila kama kunamabadiliko yakitokea nitafanya hivyo tunaishi vizuli kabisaa kwa furaha na amani teleBrother hauna mzazi yoyote ambaye yuko hai ?
Kama bibi yake yuko hai jaribu kumpeleka akapate maradhi mazuri, huyo mtoto una mduhurumu vitu vya msingi baadae atakuja kukulahumu huyo 🥹
Baki na mwanao.Mama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,
Mama yake ni muhangaikaji leo yupo Dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo Mbeya ,
Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
Habarii hivi ushawahi kupitia hii
Ninaishi na bint wa miaka nane mimi ndio mama nyumbani tupo .
Usiku ninapika chai naiyacha kwenye chupa, asubui mm huwa ninawai kutoka kabla yake namuacha amelala wala simuamshi.
Akiamka anafagia wanja na kuosha vyombo, anakunywa chai na kwenda shule.
Ikiwa yeye atawai kurudi shule kabla ya mm anakula na kwenda sehem nyingine ambayo ni kwa ajili ya masomo ya jioni.
Ikiwa mm nitawai kurudi nitapika chakula cha mchana,
Ikiwa yeye atawai kurudi kuna mazingila nimemtengenezea aweze kula,
Vitu vya muhimu nilivyofanya,
Nina sim ndogo nimeacha ndani ambayo nimejiunga halichachi kwa maana muda wowote anaweza kupiga, nimemuandikia namba,za watu wa karibu ikiwa na dhalula awapigie nimewka funguo nje ili ikitokea amepoteza funguo au aliondoka na kuniacha mm nyimbani akasahau kubeba funguo akija aweze kufungua mlango
Nimeacha pesa ya dhalula ikiwa nimesahau kuacha pesa ya vitafunwa asubui akachukue pale anunue vitafunwa.
Changamoto ninazopitia ni ndogo sana lkn ninamshuku mungu nipo salama na bint yangu na maisha yanasonga,
Nawakaribisha mp kama kuna mwanamke amevutiwa na hii familia aje kuwa mtu wa 3, karibu mp
Dah hongera mkuu,Kwa ishu ya kuamka kusoma inabidi uzoee tu,good stuff.Kijana wa miaka 7 naishi nae geto mwaka wa pilii huu.
Nataman kuwekaa picha hapa ninazopiga naye Kila cku tukiwa zetu geto ,tukipika,tukifua,tukiangalia mpira yaan n full burudanii,,
Changamoto niliyonayo n yy ajuagi muda maalumu wa kusomaa anaweza shtuka usingizi saa Saba usiku akawasha taa akaanza kusomaa vitabu vyake mpk achoke ,ss mm akishawasha taa tu usingizi kwisha NAMI kumkataza kutokusoma nashindwa najisemeaga labda akisomaa muda huu ndio anaelewa zaidii
Kiukwel n msela wangu ,n rfk pia n mshikaji...
Umeongea kama mwanaume na baba🤛Kimkakati sana hili bandiko.
Ila sijaona ni wakati gani unafuatilia maendeleo yake Mkuu, kama mzunguko wa maisha yenu upo hiv ulivyoelezea huyo binti yupo kwenye mazingira hatarishi sana tofauti na vile unavyoweza kufikiri.
Huyo binti muda wowote anaweza kuwa mhanga wa ukatili na wala wewe usifahamu/kujua au ukaja kujua ikiwa ushachelewa.
Mtengenezee mazingira rafiki kwa umri wake Mkuu. Usimpore utoto wake ili tu wewe uweze kuishi kwa amani, kuna hatua muhimu sana hasa ikizingatiwa huyo ni mtoto wa kike. Anahitaji kuandaliwa vyema aje kuwa mama wa wanawe pia.
Ni ngumu kwa wengi kuelewa hili swala.