Mama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,
Mama yake ni muhangaikaji leo yupo dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo mbeya ,
Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??