Ushawahi lala njiani baada ya gari kuharibika?

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
275
1,000
Mimi leo inanikuta, naelekea Korogwe sasa hivi ndio kwanza tupo Bagamoyo gari imeharibika mara mbili.

Hapa watu hawajafuturu, chakula chetu ni mmbu maana wametuzunguka.

Makonda wanatengeneza gari, wanatupa matumaini ila hii ngoma naona kabisa hatuchomoi,.

Kushuka kutafuta gari nyingine ni mtihani sababu nina mizigo mikubwa.
 
Captain mopao

Senior Member
Feb 25, 2021
133
500
Umenikumbusha mwaka 2007 tulikwama na treni ya kwenda Kigoma for 2 days tupo porini.. dah watu waliuza mizigo yao sio poa. Masista duu wote walikoma kuringa
Mimi leo inanikuta, naelekea korogwe asaiv ndio kwanza tupo bagamoyo gari imeharibika mara mbili,
Hapa watu hawajafuturu, chakula chetu ni mmbu maana wametuzunguka....

Makonda wanatengeneza gari, wanatupa matumaini ila hii ngoma naona kabisa hatuchomoi,
Kushuka kutafuta gari nyingine ni mtihani sababu nina mizigo mikubwa.
Mwaka 2015 tulikua tunasafili na gari ikaharibika njian pipe ya mafuta ya clutch ilibast mafuta yakavuja tulilala porin kesho yake tukampogia fundi akatupa njia moja tukaifunga ile mahali imebast kwa mpira alafu tuka koroga sabuni ya unga na maji hio njia ilitu save tukafika mpka town ndo tukabadilisha pipe nyingine
 
paka_wa_Simba

Member
Jan 23, 2021
51
150
Ilikuwa Mpanda sumbawanga, enzi za summry daah tulikwama siku 2,, jion yake tukatoka ilaa nilipatagaa kademu nikakadinyia humohumo kwa bus coz watu wengi waliondok na magari mengine, so tukabaki kama abiria 6 tuu basi zimaa
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
5,669
2,000
Yaani nyie msipomtaja Makonda :) hamridhiki kwa maongezi yenu finyu, siyo!??? Haya sasa Mh kaongeza mawe, semeni lingine.
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,836
2,000
Wami, ngoma ilifeli kupanda mlima, ilikula mzigo wa kutosha, buti tuu ilikula kama tani 3 za tiles...
Ukitoka wami kuna ka mji kwa kwanza sijui panaitwaje pale, ndio tulienda kutafuta msosi, tukakuta samaki ndio wanakaangwa, ikabidi wawe mlo kamili.

Pia msamvu kwenda ifakara, ile sehemu yenye daraja kubwa ambapo ukiimaliza tuu unaanza barabara ya vumbi(kwa kipindi kile sijui sasa) nahisi ni daraja la mto ruaha. Maeneo yale nayo nishapindua..
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,636
2,000
Mimi leo inanikuta, naelekea Korogwe sasa hivi ndio kwanza tupo Bagamoyo gari imeharibika mara mbili.

Hapa watu hawajafuturu, chakula chetu ni mmbu maana wametuzunguka.

Makonda wanatengeneza gari, wanatupa matumaini ila hii ngoma naona kabisa hatuchomoi,.

Kushuka kutafuta gari nyingine ni mtihani sababu nina mizigo mikubwa.
Mara kibao tu paleee Mwenge ila kamata hizi mbili, gari yangu ya kwanza kirkuu, nikiwa na mapara chichi kuelekea Mbezi Beach, gari likapata pancha na hela ya ziada sina halafu jioni, nili lala pale victoria.

ya pili ni paleee kwa azizi Ally, rejeta ilifumuka ghafla nikalala pale siku mbili!! nakula kwa ma ntilie
 
Jephta2003

JF-Expert Member
Feb 27, 2008
5,992
2,000
Wami, ngoma ilifeli kupanda mlima, ilikula mzigo wa kutosha, buti tuu ilikula kama tani 3 za tiles...
Ukitoka wami kuna ka mji kwa kwanza sijui panaitwaje pale, ndio tulienda kutafuta msosi, tukakuta samaki ndio wanakaangwa, ikabidi wawe mlo kamili.

Pia msamvu kwenda ifakara, ile sehemu yenye daraja kubwa ambapo ukiimaliza tuu unaanza barabara ya vumbi(kwa kipindi kile sijui sasa) nahisi ni daraja la mto ruaha. Maeneo yale nayo nishapindua..
Kilombero hapo,siku hizi kuna lami inajengwa kutoka Ruaha kwenda Ifakara
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
10,055
2,000
Ilikuwa Mpanda sumbawanga, enzi za summry daah tulikwama siku 2,, jion yake tukatoka ilaa nilipatagaa kademu nikakadinyia humohumo kwa bus coz watu wengi waliondok na magari mengine, so tukabaki kama abiria 6 tuu basi zimaa
Mara ya mwisho umepima HIV status lini?
 
Chen Hu

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,322
2,000
Mwaka 97 siku hiyo ndio nilijua pesa haimalizi shida zote.
Tulikuwa na pesa but hamna chakula cha kununua. Kuna abiria alikuwa na dagaa ametoka kununua ziwa nyasa huko Ukisi alituokoa sana yule.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom