kuelekea 2015,ipo siku tutashuhudia tukio kama hili ktk picha, likimtokea askari wa jeshi la polisi akiwa na magwanda yake.mungu aepushie mbali.
Wanakuwaga wanaume huwezi kuta mwanamke akifanya hivi uchungu wa mwana aujuwae mzazi japo kuna visheta vinavyotupa watoto
kutupa watoto kuna tofauti gani na hawa wanao uwa?