Uko sahihi mkuu.Hiyo hali nadhani hutokea pale mtu anapokuwa amepanic kupita kiasi sasa mwili unapojaribu kujirudisha katika hali yake mtu kupiga bao nikitu cha kawaida.
Mimi hii hali ilinitokea nikiwa chuo lakini sii kwenye chumba cha mtihan nilikuwa block D nimelala mchana huku nafanya forex nilikuwa na mtaji wa dola 300 nakumbuka nilipata profit dola 600 jumla nikawa na dola 900 mida ya saa 1 usiku nikaenda cafe nikala then nikarudu kutrade daa usingizi ukanipitia nikashituka muda kama wa saa 6 asee nikakuta market imenigeukia nilikuwa nimeweka lot ya 0.5 nikakuta kama neg 700 asee nilichanganyikiwa sikuamini macho yangu nilijikuta napiga bao kidogo akili ikatulia nikahisi labda mimi ni mgonjwa ila nilikuja elewa baadae.
Safii ila Mkuu naona pia hiyo ishu inasababishwa na ugumu
Okay, nimesoma Tech la makamanda Iyunga Tech!!Ifunda, The Glorious, Live longer Forever mkuu, with our motto skills and efficiency.....
2004-2005 mazengo tech(Tukahamishwa ili shule ibadilishwe kuwa chuo)Hahahaaaaa mwaka gani mkuu??
we jamaa bana yani Civics ya form1 ndo ikufanye upige bao wakati wenzako wanaongelea engineering science,Additonal Maths,Machemistry😂 watu kama nyie ndo mnasababisha rushwa isiishe bongo😂Form 1 swali lilisema mention and explain types of family. Nika mention, baadae naona ile explain, nikakata, ile nataka kuanza kuandika teacher akasema bado dakika 5. Nilitetemeka mikono haiandiki. Nikajisikia raha ya ajabu. Baadae nikaona vitu vyeupe kwenye boxer , jamaa kuwauliza wakaniambia ndo bao hilo
We ni graduate wa 2014?Umenikumbusha necta yetu ya form six...tumeingia kwenye practical ya chemistry,jamaa akawa anafanya titration huku haoni colour change mpaka acid yote inaisha kwenye burrete..nikaona suruali yake imelowa kwa mbele,nikashtuka..baadae akajakutuambia kuwa alipizi...
Asante mkuu nime karibiaKaribu chaputa na style mpya
Hapana..kwanini umeuliza hivo??We ni graduate wa 2014?
Practical ya chemistry mwaka 2014 pia kupata colour change ilikua ni noma mzee mtu masaa matatu yameisha ndio et inachange[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana..kwanini umeuliza hivo??
Watu wengine huwa ni wabishi tu by nature,hata kwenye mambo ambayo watu wametolea ushuhuda..Angekuwa amewahi hata kusikia, unless awe hajaenda shule za namna hizo
Unanikumbusha Iyunga guys walipenda kwenda MTC(MUST) kisa misosi.hahahahahahZile shule ni kama wamezitelekeza,lakini zilikua zinazalisha wahandisi wazuri sana. Wengi walipendelea kwenda FTC pamoja na mabo mengine, misosi ilikua motisha kubwa sana.
Daah halafu unajua shule nyingine wanafunzi ni wengi kwahiyo inabidi upige practical chapu upate result maana kuna kuhamishwa kupelekwa kwenye swali jingine...Mitihani hii acha kabisa mkuu,unaweza kulia kwenye chumba cha mtihaniPractical ya chemistry mwaka 2014 pia kupata colour change ilikua ni noma mzee mtu masaa matatu yameisha ndio et inachange[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hicho chuo kinatwaje?2004-2005 mazengo tech(Tukahamishwa ili shule ibadilishwe kuwa chuo)
2006-2007 moshi tech
Saint John universityHicho chuo kinatwaje?
Yap nakumbuka baada ya mazengo kuvunjwa wanafunzi wengi wakahamishwa tech schools2004-2005 mazengo tech(Tukahamishwa ili shule ibadilishwe kuwa chuo)
2006-2007 moshi tech
Ndio kile kilichofungiwa na TCU juzi?Saint John university
Nikiwa advance pale kibaha,nakumbula kuna jamaa mmoja mlokole hakutaka mambo ya kufoji kwamba ni dhambi!Tukaingia Prac ya physics,ilitakiwa tufanye 3!Ngoma ya kwanza ni kutafuta specific gravity ya sample liquid "x"!Kiuhalisia prac hiyo inahitaji utulivu sana na hali ya hewa iwe stable throughout the experiment!Na kwa lisaa limoja huwezi maliza ukiamua kufanya!Basi jamaa akakomaa kufanya,mpaka muda unaisha hajakusanya hata nusu ya data!Tukahamia chumba kingine,hali ikawa hivyo hivyo,hakufanikiwa kumaliza prac ya 1 na ya 2!Tulivyoingiq room ya mwisho kwa ajili ya prac ya mwisho,tuliona anavyotetemeka!Ikabidia tumwambie asifanye prac tena,tukawa tunapokezana kijanja kumpa sheet za majibu naye anakiri!Kweli alifanikiwa kucopy kutoka kwetu prac zote 3!Daah halafu unajua shule nyingine wanafunzi ni wengi kwahiyo inabidi upige practical chapu upate result maana kuna kuhamishwa kupelekwa kwenye swali jingine...Mitihani hii acha kabisa mkuu,unaweza kulia kwenye chumba cha mtihani