Ushawahi kukutana na hii?

Decree Holder

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,556
3,741
Waswahili bhana kweli kiingereza hatujui ona tafsiri ya tungo zifuatazo kiswahili-kiingereza.

Kuchungulia- To potcry!

Angalia sana-look very!

Kama una nyingine kama hii share hapa
 
1. Pigana - Beat and

2. Chai ya Rangi - Tea of color

3. Jua sana - Sun too much

4. Rusha roho - Throw soul

5. Roho mbaya - Soul ugly

6. Chokonoa - Gay sharpen

7. Takataka - Rubish rubish
 
8. Kaa kimya - Sit quiet

9. Dadavua - Sister undress

10. Sokonyoa - Market shave
 
11. Pamba moto - Cotton Fire

12. Kitimoto - hotchair

13. Mwembe chai - Mango tree tea

14. Mlandizi - Banana eater
 
15. Kuvua samaki - To undress fish

16. Piga kelele - Beat noise

17. Vunja jungu - Break big pot
 
19. Matembele - Saliva front

20. Choma moto takataka - Burn fire rubbish rubbish

21 .Kandambili - Tape two

22. Simulia - Phone cry
 
Back
Top Bottom