Ushawahi kuingia katika mahusiano na mtu ambaye huna malengo naye ila yeye ana malengo na wewe

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe.

Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela, simjali lakini pia kuna hela ya mtaji niimpromisi nitampa ila sikumpa basi aliamua kuniacha kisa mimi mbahili.
 
2.5181781817106964E18.jpg
 
Hio ipoo
 
Kaka madenge huyu akaimu nafasi ya Uenezi wa chama cha UWABATA
 
Ndivyo ilivyo kwa wadada wengi. Wanawaza tu kuoana wakiwa kwenye relationship. Kuna huyo mmoja nlimwambia sina malengo nae...akasema huna future. Hapo hapo nikampiga pande, nikamchukua dada yake
20210228_184504.jpg
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe.

Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela, simjali lakini pia kuna hela ya mtaji niimpromisi nitampa ila sikumpa basi aliamua kuniacha kisa mimi mbahili.
Hii ilimtokea kaka yangu wa tumbo moja atoke yeye ntoke mimi, mtaa wa pili kulikuwa na demu mmoja mfupi,mweusi tii ana macho makubwa yamemjaa usoni, mekundu utafikiri ana red eyes hadi bi mkubwa akawa anamwogopa akawa anasema anavuta bange, kumbe bro alikuwa anapiga bwana, washkaji zake wakamwotea siku moja walishangaaje ukichukulia na mapigo ya yule dem, baada ya kumbana bro akasema anapiga mara moja anasepa.Ule mwaka haujaisha jioni moja tunapokea wageni,wazazi wa yule binti wamekuja kushtaki bro kashamtia mimba, kuitwa jamaa kuthibitisha akakiri ni kweli ye ni mhusika istoshe hadi kadi ya klinic ina jina lake kama baba, daah!! bi mkubwa alichokaje, ikawa haina jinsi, mshua akajitoa kwa maneno mengi makali, ikabidi mzigo tuubebe sisi na bi mkubwa ukichukuli bro hakuwaga na hela kabisa,daah hapo katikati mpaka binti anajifungua yalitokea mambo mengi ya kustaajabisha sometimes hadi nalia nikiyakumbuka..wee acha tu
 
Eeeeeheee ikawaje alafu,malizia story

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Picha linaanza binti inabidi ajifungue kwa opareshen njia ya kawaida imegoma jamaa hata senti tano nyekundu hana,misukosuko juu ya misukosuko,baada ya kujifungua mara wamesahau mkasi tumboni,mara mshono umeanza kuharibika nyuzi zimefumka,
Ngoma ikaamia kwa bro, kuna usiku wa manane tunagongewa jamaa kakutwa analia chumbani kwake tumbo zimekaza hata kuinuka anashindwa, alfajiri tukamwahisha hospitali kesho alfajiri zinakuja taarifa broo amefariki. Daaaah!!
 
Poleni sana mkuu...🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom