Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
Mimi nilimzushia Paw kubebwa na mafuriko ya Dar akanipa like!!! Sasa hivi najiandaa kumzushia invisible kwamba nimehudhuria ndoa yake ili naye anipe "Like".
 
kumbe mpaka uweke uzushi.

Yale yale ya Kleptomaniax ya "...nikutukane ndio ujulikane."
Mbavu zangu mie...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom