Nani kawahi kukutwa na hili jambo kufukuzwa ama alimfukuza mwanamke nyumbani kwake baada ya kunyimwa ngono au wenyewe mnavyoita kizungu sex
Kisa changu mimi 👇👇
Kuna Kijana mmoja nimemuwekaga tu kama backup kipindi nikiachwa yeye yupo tu.. huyu nilisoma nae hivyo tulianzaga mahusiano tukiwa shule ila nikajaga kuhama shule na mapenzi yakaisha ( mapenzi ya kitoto without sex)
Sasa ukubwani tukakutana tena tukaona turudiane na mimi sikutaka kumkataa kwanza tulikuwa tunaishi mikoa tofauti hivyo sikuona shida maana nilijua haipati
Huyu Kijana amekuwa akihitaji mahusiano committed na mimi lakini mimi kusema ukweli sijisikii upendo ndani yangu hivyo na mkwepakwepa
Amekuwa akilalamika kuwa hajihisi kama ni mpenzi wangu yaani kwake mimi sipo romantic kabisa
Anasema hivyo kwasababu tukikutana huwa sitaki aniguse na akinigusa namkaripia.. akiniambia nimkiss sitaki yaani kiufupi sina mahaba kwake
Kilichofanya nikaanziasha huu uzi ni tukio la hivi karibuni 😀😀
Amekuwa akiniita kwake naenda tena na bolt nikifika kwake analipia usafiri na ninapokaa na kwake ni mbali sana kwaiyo nauli ina cost kama 15000 kwa boda bolt.. kaka wa watu anatoa hela na ya kurudia ila akifika anaambulia pyeeeeee
Sasa hii majuzi kama kawaida kaniita nimeenda kalipa usafiri nimekula tunapiga story heee si akataka tena mambo ya mahaba.. kusema ukweli nilitaka nimpe maana nilikuwa nina hamu sana ila ghafla hisia zikakata( hapa nilimkumbuka mpnz wangu sijui ni ex maana hatusemeshani tangu fumanizi nikajiona kama na msaliti) nikagoma tena kilichotokea 😂😂😂
Nilifunguliwa mlango nikaambiwa Asante kwa muda wako naomba uondoke nyumbani kwangu na mimi niendelee na ratiba zangu hawezi kuwa na mwanamke mzinguajii na drama Kama zangu
Duuh kaninyima nauli ikabidi nipambane na daladala maana weeee siwezi kutoa 15k yangu et nipande bolt.. kama najilipia mwenyewe bolt ni mwisho 2k 😂😂
Sijatafutwa mpk Leo sijui ndio nimeachwaa shwaaaaa
Ila nimegundua kitu kimoja kusex na mtu inahitaji hisia nae bila hivo mmmh 😒
Leta na wewe kisa chako cha kumfukuza au kufukuzwa baada ya kutokuelewana