Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,668
- 9,094
Kazi kweli kweli.
hiyo 75% umeipata wapi? sikubaliani na wewe maana kwanza sasa hivi watoa mawazo mazuri kwenye familia ni wanawakeMkuu hao ndo 75% ya wake wa kitanzania, wanachojua ni kutoa huduma za kitandani tu, mawanzo ya maendeleo unajisimamia Peke yako,
Sawa mshukuru Mungu kama umebahatika kumpata mmojahiyo 75% umeipata wapi? sikubaliani na wewe maana kwanza sasa hivi watoa mawazo mazuri kwenye familia ni wanawake
hahahahha asilimia kubwa
Mmekutana kopo na mfunikoNi ile hali ya kuwa na mpenzi ama mke ambaye ni Zero brain kiasi ambacho hana mchango wowote wa mawazo katika mahusiano!
Utakuta unamwambia Dear nimepanga kufanya hivi na vile wewe unaonaje katika hili anakwambia sijui! Utakuta unamwambia vitu vingi ili na yeye aoneshe mchango wake japo wa kimawazo hata kama usipoyafanyia kazi lakini hana mchango wowote zaidi tu ya kutoa papuchi!
Utadeal vipi na situation kama hiyo kumfanya mtu wa namna hiyo abadilike?