Ushawahi kudate na kimvuli

Ushawahi kudate na kimvuli

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Ni ile hali ya kuwa na mpenzi ama mke ambaye ni Zero brain kiasi ambacho hana mchango wowote wa mawazo katika mahusiano!

Utakuta unamwambia Dear nimepanga kufanya hivi na vile wewe unaonaje katika hili anakwambia sijui! Utakuta unamwambia vitu vingi ili na yeye aoneshe mchango wake japo wa kimawazo hata kama usipoyafanyia kazi lakini hana mchango wowote zaidi tu ya kutoa papuchi!

Utadeal vipi na situation kama hiyo kumfanya mtu wa namna hiyo abadilike?
 
Nimecheka sana, huyo anaweza akawa anasahau hata kuoga, au akiingia kujisaidia haja kubwa badala ya kujitawaza anasahau na anaishia kusukutua mdomo.

Sasa kama wazazi wake walimshindwa huyo mtoto wao, na wakaamua bora kukuuzia huyo mtoto wao kwa mahari ndogo, ulitegemea kipi?
 
Mada haihusiani na maisha yangu binafsi nimeongelea kwa ujumla [emoji28][emoji28]
 
Nimecheka sana, huyo anaweza akawa anasahau hata kuoga, au akiingia kujisaidia haja kubwa badala ya kujitawaza anasahau na anaishia kusukutua mdomo.

Sasa kama wazazi wake walimshindwa huyo mtoto wao, na wakaamua bora kukuuzia huyo mtoto wao kwa mahari ndogo, ulitegemea kipi?

Huyo wako sasa amezidi mkuu [emoji23][emoji23]
 
1613112780131.png

Kademu kangu ndio hako pichani
 
Ni ile hali ya kuwa na mpenzi ama mke ambaye ni Zero brain kiasi ambacho hana mchango wowote wa mawazo katika mahusiano!

Utakuta unamwambia Dear nimepanga kufanya hivi na vile wewe unaonaje katika hili anakwambia sijui! Utakuta unamwambia vitu vingi ili na yeye aoneshe mchango wake japo wa kimawazo hata kama usipoyafanyia kazi lakini hana mchango wowote zaidi tu ya kutoa papuchi!

Utadeal vipi na situation kama hiyo kumfanya mtu wa namna hiyo abadilike?
Mkuu hao ndo 75% ya wake wa kitanzania, wanachojua ni kutoa huduma za kitandani tu, mawanzo ya maendeleo unajisimamia Peke yako,
 
Mzigo anatoa lakini bila shida?
 
Back
Top Bottom