Habari za siku wana jamvi na poleni sana kwa kazi ngumu za ujenzi wa taifa.
"wapendwa wana MMU na JF kwa ujumla, nimeombwa niitambulishe kwenu hii ID ambayo lengo lake kuu ni kutoa ushauri unaOhusu maswala nyeti ya kifamilia, mahusiano, mapenzi na urafiki kwa wale ambao kwa sababu moja au nyingine wanashindwa kubandika issues zao humu jukwaani; hivyo wanaweza tuma ujumbe wa siri (PM) kwenye ID hiyo na kupata ushauri au counseling kule bila mambo yako kujulikana. Hii imetokana na kuwa baadhi yetu tunajuana kwa ID zetu hivyo tunasita kuweka matatizo yetu kwa kuhofia huenda mume/mke/rafiki/buddy wangu anaweza asome na akahisi ni mimi"
Ninaomba kama ukiona kwamba hii post hujaipenda basi wewe ipotezee ila kama ukiona inatija kwa wengine basi usisite kusema chochote kizuri ili iweze kutumiwa vizuri.
Pia uwepo wa ID hii hauna maana kwamba utamnyima mwana jamvi kutuma pm kwa mtu anayemwamini juu ya swala lake. Hapa kinachofanyika ni kuweka ule usiri wa mambo nyeti ambayo huwa watu wengine wanaona aya kuyaelezea hapa jamvini ama kueleza kwenye PM za memba ambao wanawafahamu.
Wenu katika ushauri
USHAURI.