Ushauri: Zitto Kabwe aongezewe ulinzi

Ushauri: Zitto Kabwe aongezewe ulinzi

Kasuku mmekamatwa makalio wapigaji wa kodi zetu msiopenda kukaguliwa
ZITO NI MSAKA TONGE TU KAMA WASAKA TONGE WENGINE SAMPULI YA LISSU. HAWA WATU NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI YETU. NIMEMSIKILIZA KWENYE CONFERENCE YAKE NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU CAG. HANA HOJA YA MSINGI NI MPOTOSHAJI WA UMMA KUTAKA UMAARUFU.

SPIKA AMEMUITA CAG KUMHOJI KAMA MTU BINAFSI NA SIYO OFISI YA CAG KWA KAULI YAKE KUHUSU BUNGE KUWA DHAIFU NA KUSHINDWA KUSIMAMIA SERIKALI. KWANINI ANAIBUA MIJADALA YA KWAMBA SPIKA ANAHOJI OFISI YA CAG?

BUNGE LETU KIKATIBA LINARUHUSIWA KUMHOJI MTU YEYOTE NA ASSAD CAG WETU KAITWA KAMA YEYE SI OFISI YAKE. ASIPOTOSHE UMMA.

IKUMBUKWE ASSAD CAG NI MTUMISHI WA UMMA ANAYEANGUKIA SERIKALINI KIKATIBA. HAYUKO BUNGENI WALA MAHAKAMANI. YEYE ANATUMIKIA UMMA WA WATANZANIA SIYO DUNIA YOTE. MAMLAKA YAKE KIKATIBA YANAISHIA MIPAKA YA TANZANIA. KITENDO ALICHOKIFANYA CHA KUELEZEA UKAGUZI WA OFISI YAKE KWA WATU AMBAO HAWANA MAMLAKA YA KUHOJI HESABU ZA SERIKALI YA NCHI YAKE SI SAHIHI.

ISITOSHE KUSEMA KUWA AMEDHARAU SERIKALI YA AWAMU YA 5 ILIYOMPA KAZI ANAYOIFANYA NA BUNGE ANALOTAKA LISIMAMIE SERIKALI YEYE AKIWA SEHEMU YA SERIKALINI.

KWA UFUPI SANA NISEME KUWA ASSAD HASTAHILI KUENDELEA KUWA SEHEMU YA WATUMISHI WA SERIKALI KWA KUKOSA UZALENDO NA UUNGWANA.

KAMA MTENDAJI MKUU WA CAG ALISHINDWA KUFAHAMU FEDHA HIZO 1.5T ZIMEKWENDA WAPI NA KWA IDHINI YA NANI?

KAMA ANAFAHAM NI KWA IDHINI YA RAIS, JE AMESHINDWA KUTAMBUA KUWA RAIS NI BOSS WAKE AMBAYE ANGEWEZA KUPATA UKWELI WA MATUMIZI YA FEDHA HUSIKA NA KUZITOLEA MAELEZO?

JE ANATAKA KUTUAMBIA WATANZANIA FEDHA HIZO NYINGI KIASI HICHO AMEZIIBA RAIS MAGUFULI?

KWAKWELI SIMUUNGI MKONO KABISA ZITO NA NAAMINI KUWA SPIKA YUPO SAHIHI KUUPATA UKWELI WA KAULI ILE TOKA KWA MTU AMBAYE NI MTANZANIA MWENYE DHAMANA YA KUSIMAMIA OFISI YA UMMA IITWAYO NAO/CAG WA SERIKALI NA ISITAFSIRIWE KUWA CAG AMEEINGILIWA KWENYE UTUMISHI WA KAZI ZAKE KAMA OFISI LA HASHA.

LABDA ZITO ATUELEZE NI WAPI KATIKA KATIBA YETU CAG ANARUHUSIWA KUTOA TAARIFA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI YA TANZANIA NJE YA NCHI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hofu usiri wa nn kama ni Kwa manufaa ya umma,je haina harufu ya upigaji,maana twaambiwa ni cash ya ndani kuna ibuka Ishu za mikopo.
Tusipende kushabikia vitu vya hovyo hovyo kama anavyofanya Zito na watanzania wachache wasiokuwa wazalendo. Kama Zito yeye anasema kuwa kunamatumizi ya fedha za miradi iliyofanywa na serikali bila kufuata utaratibu na wao wanafahamu hilo je swali ni kwamba matumizi hayo yaliyofanyika ni kwa manufaa ya umma au manufaa ya magufuli? watupe hiyo data ili watanzania tupime kuwa miradi hiyo pamoja kutumia fedha za watanzania haina manufaa kwetu ndo tutamuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Mkuu aongezewe ulinzi kutoka wapi? Kutoka serikali hii hii ya Magufuli yenye genge la wauaji hatari?
Kama kuna uwezekano akodi ulinzi binafsi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukija kujua zitto ni mtumishi wa umma... na ana foji haya anayo yafanya sijui uta muita msaliti kwa Mara nyingine??

hahahahaha... kila siku tuna piga kelele humu lakini watu hawaelewi wamegoma kufikiria kabisa...

Mentally slaves...
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Kuna mafundi hatari sana kule kigoma yaani ukimvizia hotelini unakuta bahari
 
Zitto hakusema kalishwa Sumu bali alipata food poisoning baada ya kula chakula chenye Ecoli sasa unageuza.
Kuna Threads humu kabla hata hujajiunga zinahusu sakata la ugomvi wa kina ben Saanane vs Zitto.
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Alindwe vipi wakati hao walinzi ndio wauaji wasiojulikana
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
mpeni Red Brigades
 
Hawamuwezi kwa lolote,Kapikwa huyo,kachanjia vidono risasi haingii.
 
Kuna Threads humu kabla hata hujajiunga zinahusu sakata la ugomvi wa kina ben Saanane vs Zitto.
Au Zitto wako wawili au ni huyuhuyu ambae hata magazeti yalikuwa yakimuandika
 
ZITO NI MSAKA TONGE TU KAMA WASAKA TONGE WENGINE SAMPULI YA LISSU. HAWA WATU NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI YETU. NIMEMSIKILIZA KWENYE CONFERENCE YAKE NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU CAG. HANA HOJA YA MSINGI NI MPOTOSHAJI WA UMMA KUTAKA UMAARUFU.

SPIKA AMEMUITA CAG KUMHOJI KAMA MTU BINAFSI NA SIYO OFISI YA CAG KWA KAULI YAKE KUHUSU BUNGE KUWA DHAIFU NA KUSHINDWA KUSIMAMIA SERIKALI. KWANINI ANAIBUA MIJADALA YA KWAMBA SPIKA ANAHOJI OFISI YA CAG?

BUNGE LETU KIKATIBA LINARUHUSIWA KUMHOJI MTU YEYOTE NA ASSAD CAG WETU KAITWA KAMA YEYE SI OFISI YAKE. ASIPOTOSHE UMMA.

IKUMBUKWE ASSAD CAG NI MTUMISHI WA UMMA ANAYEANGUKIA SERIKALINI KIKATIBA. HAYUKO BUNGENI WALA MAHAKAMANI. YEYE ANATUMIKIA UMMA WA WATANZANIA SIYO DUNIA YOTE. MAMLAKA YAKE KIKATIBA YANAISHIA MIPAKA YA TANZANIA. KITENDO ALICHOKIFANYA CHA KUELEZEA UKAGUZI WA OFISI YAKE KWA WATU AMBAO HAWANA MAMLAKA YA KUHOJI HESABU ZA SERIKALI YA NCHI YAKE SI SAHIHI.

ISITOSHE KUSEMA KUWA AMEDHARAU SERIKALI YA AWAMU YA 5 ILIYOMPA KAZI ANAYOIFANYA NA BUNGE ANALOTAKA LISIMAMIE SERIKALI YEYE AKIWA SEHEMU YA SERIKALINI.

KWA UFUPI SANA NISEME KUWA ASSAD HASTAHILI KUENDELEA KUWA SEHEMU YA WATUMISHI WA SERIKALI KWA KUKOSA UZALENDO NA UUNGWANA.

KAMA MTENDAJI MKUU WA CAG ALISHINDWA KUFAHAMU FEDHA HIZO 1.5T ZIMEKWENDA WAPI NA KWA IDHINI YA NANI?

KAMA ANAFAHAM NI KWA IDHINI YA RAIS, JE AMESHINDWA KUTAMBUA KUWA RAIS NI BOSS WAKE AMBAYE ANGEWEZA KUPATA UKWELI WA MATUMIZI YA FEDHA HUSIKA NA KUZITOLEA MAELEZO?

JE ANATAKA KUTUAMBIA WATANZANIA FEDHA HIZO NYINGI KIASI HICHO AMEZIIBA RAIS MAGUFULI?

KWAKWELI SIMUUNGI MKONO KABISA ZITO NA NAAMINI KUWA SPIKA YUPO SAHIHI KUUPATA UKWELI WA KAULI ILE TOKA KWA MTU AMBAYE NI MTANZANIA MWENYE DHAMANA YA KUSIMAMIA OFISI YA UMMA IITWAYO NAO/CAG WA SERIKALI NA ISITAFSIRIWE KUWA CAG AMEEINGILIWA KWENYE UTUMISHI WA KAZI ZAKE KAMA OFISI LA HASHA.

LABDA ZITO ATUELEZE NI WAPI KATIKA KATIBA YETU CAG ANARUHUSIWA KUTOA TAARIFA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI YA TANZANIA NJE YA NCHI?

Una tatizo la macho nini mkubwa?

Huko shuleni ulikosoma, mwalimu aliyekufundisha kuandika insha (essay) kwa herufi kubwa (uppercase) anapaswa kunyang'anywa leseni ya ualimu wake!!

Amekuambukiza ujinga nawe unausambaza kwenye jamii bila hata kujua!!
 
Back
Top Bottom