Ushauri: Zitto Kabwe aongezewe ulinzi

Ushauri: Zitto Kabwe aongezewe ulinzi

ZITO NI MSAKA TONGE TU KAMA WASAKA TONGE WENGINE SAMPULI YA LISSU. HAWA WATU NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI YETU. NIMEMSIKILIZA KWENYE CONFERENCE YAKE NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU CAG. HANA HOJA YA MSINGI NI MPOTOSHAJI WA UMMA KUTAKA UMAARUFU.

SPIKA AMEMUITA CAG KUMHOJI KAMA MTU BINAFSI NA SIYO OFISI YA CAG KWA KAULI YAKE KUHUSU BUNGE KUWA DHAIFU NA KUSHINDWA KUSIMAMIA SERIKALI. KWANINI ANAIBUA MIJADALA YA KWAMBA SPIKA ANAHOJI OFISI YA CAG?

BUNGE LETU KIKATIBA LINARUHUSIWA KUMHOJI MTU YEYOTE NA ASSAD CAG WETU KAITWA KAMA YEYE SI OFISI YAKE. ASIPOTOSHE UMMA.

IKUMBUKWE ASSAD CAG NI MTUMISHI WA UMMA ANAYEANGUKIA SERIKALINI KIKATIBA. HAYUKO BUNGENI WALA MAHAKAMANI. YEYE ANATUMIKIA UMMA WA WATANZANIA SIYO DUNIA YOTE. MAMLAKA YAKE KIKATIBA YANAISHIA MIPAKA YA TANZANIA. KITENDO ALICHOKIFANYA CHA KUELEZEA UKAGUZI WA OFISI YAKE KWA WATU AMBAO HAWANA MAMLAKA YA KUHOJI HESABU ZA SERIKALI YA NCHI YAKE SI SAHIHI.

ISITOSHE KUSEMA KUWA AMEDHARAU SERIKALI YA AWAMU YA 5 ILIYOMPA KAZI ANAYOIFANYA NA BUNGE ANALOTAKA LISIMAMIE SERIKALI YEYE AKIWA SEHEMU YA SERIKALINI.

KWA UFUPI SANA NISEME KUWA ASSAD HASTAHILI KUENDELEA KUWA SEHEMU YA WATUMISHI WA SERIKALI KWA KUKOSA UZALENDO NA UUNGWANA.

KAMA MTENDAJI MKUU WA CAG ALISHINDWA KUFAHAMU FEDHA HIZO 1.5T ZIMEKWENDA WAPI NA KWA IDHINI YA NANI?

KAMA ANAFAHAM NI KWA IDHINI YA RAIS, JE AMESHINDWA KUTAMBUA KUWA RAIS NI BOSS WAKE AMBAYE ANGEWEZA KUPATA UKWELI WA MATUMIZI YA FEDHA HUSIKA NA KUZITOLEA MAELEZO?

JE ANATAKA KUTUAMBIA WATANZANIA FEDHA HIZO NYINGI KIASI HICHO AMEZIIBA RAIS MAGUFULI?

KWAKWELI SIMUUNGI MKONO KABISA ZITO NA NAAMINI KUWA SPIKA YUPO SAHIHI KUUPATA UKWELI WA KAULI ILE TOKA KWA MTU AMBAYE NI MTANZANIA MWENYE DHAMANA YA KUSIMAMIA OFISI YA UMMA IITWAYO NAO/CAG WA SERIKALI NA ISITAFSIRIWE KUWA CAG AMEEINGILIWA KWENYE UTUMISHI WA KAZI ZAKE KAMA OFISI LA HASHA.

LABDA ZITO ATUELEZE NI WAPI KATIKA KATIBA YETU CAG ANARUHUSIWA KUTOA TAARIFA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI YA TANZANIA NJE YA NCHI?
Ofisi ya CAG sio siasa, ni taaluma tena kwa manufaa ya watanzania wote. Hakuna tofauti yoyote kma maoni ya CAG angetoa akiwa nchini au nje ya nchi, ukweli uko pale pale, na ukiona spika na watu kama wewe wanakuwa wakali wakipewa challenge huo ndo udhaifu unadhihirika. Kwa taarifa yako CAG ni CCM pure sio mamluki lakini anafanya kazi kwa ethics na utashi, i discredit huyu spika wetu anavyokurupuka kwa jazba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Mara nyingine ninyi makamanda ni watu hovyo sana!
Agenda ngapi ndani ya miezi miwili mmeshabadilisha bila kufikia kikomo?
Hamjui hata anayetumika ni nani na asiyetumika ni nani!
Kazi kuingia kichwa kichwa tu!
Aitsee!nawaonea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakuwa binaadam wa mwisho kabisa kumuamini Zitto Kabwe.
Nafikiri tutagongana kwenye hiyo namba.
Tatizo la makamanda ni kuingia kichwa kichwa kwenye kila hoja inayoibuliwa bila kupima.
Kwenye nyingine zinaibuliwa na system kuwavuruga lakini kwa kuwa hawapimi kitu,wanajikuta wanakuwa upande wa wale wanaotumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hivi kama sio Mh Zitto atakuwa ni nani atakayewasemea wasiotaka mambo yanayofanywa bila taratibu zilizowekwa yasifanywe? Kutoweka kwa Zitto kwa njama zozote maana yake ni moja tu; kuwanyamazisha wanaotafuta ukweli na haki katika taifa letu

Sauti iliyobaki ni ya Mh Zitto, na kama jambo lolote baya likitokea kwa Zitto sasa hivi itaeleweka bila ya shaka yoyote, kama ilivyokuwa kwa Mh Lissu ni nani atakuwa ni mhusika kwa kutoweka huko.

Watu waliopofushwa na kuleweshwa na madaraka wanaweza wasione madhara yoyote kwao kwa kufanya hivyo. Lakini, ni nani ajuae?
 
Tusipende kushabikia vitu vya hovyo hovyo kama anavyofanya Zito na watanzania wachache wasiokuwa wazalendo. Kama Zito yeye anasema kuwa kunamatumizi ya fedha za miradi iliyofanywa na serikali bila kufuata utaratibu na wao wanafahamu hilo je swali ni kwamba matumizi hayo yaliyofanyika ni kwa manufaa ya umma au manufaa ya magufuli? watupe hiyo data ili watanzania tupime kuwa miradi hiyo pamoja kutumia fedha za watanzania haina manufaa kwetu ndo tutamuelewa.

Na kwa haya uliyoyaandika hapa unajiona umetoa bonge la fikra kubwa! Ngoja nikusaidie zaidi. Mwambie Magufuli apunguze gharama za uendeshaji bunge na takataka nyingine zote, hata zile za mahakama ili pesa yote ya waTanzania aipangie matumizi yanayofaa yeye.
 
Una tatizo la macho nini mkubwa?

Huko shuleni ulikosoma, mwalimu aliyekufundisha kuandika insha (essay) kwa herufi kubwa (uppercase) anapaswa kunyang'anywa leseni ya ualimu wake!!

Amekuambukiza ujinga nawe unausambaza kwenye jamii bila hata kujua!!
Mkuu changia KWA kutumia bongo siyo kalio.
 
Na kwa haya uliyoyaandika hapa unajiona umetoa bonge la fikra kubwa! Ngoja nikusaidie zaidi. Mwambie Magufuli apunguze gharama za uendeshaji bunge na takataka nyingine zote, hata zile za mahakama ili pesa yote ya waTanzania aipangie matumizi yanayofaa yeye.
Hongeraa wewe uliyetoa tope badala ya kutoa mchango KWA ajenda iliyopo mezani.
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Ni kweli, maana kama kalamba hela za wazungu lazima wazungu wamtafute wamtwange risasi, awahi haraka polisi na aombe ulinzi. Ila wajifunze, hakuna msaliti wa nchi yake ambaye huwa anabaki salama, eventually wazungu wakishachoka kukutumia wanakuua au kukubwaga.
 
Kama hawataki kutumia pesa za umma kumlinda, wanaompenda wanashindwa kweli kumpa ulinzi shirikishi? Yaani kila atakapokuwepo anajilinda yeye mwenyewe na wananchi waliokaribu naye nao wanashiriki kumlinda huku naye akiwalinda. Kama tunavyofanya mitaani.
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .

Una maana huyo Zitto ana ulinzi tayari kwa hiyo unataka aongezewe?? Au una maana apewe ulinzi???
 
Wasiojulikana wanaweza kumtungua wakati wowote na hawatafanya makosa waliofanya kwa TAML. ZZK amekuwa mwiba endelevu kwa watawala na amekuwa consistent and relentless in pursuit of justice; and I am sure the rulers are extremely unhappy with him and vexed.

Anatakiwa kujilinda sana lakini anahitaji zaidi ulinzi toka JUU kwa MUNGU. Sala na dua za kila mpenda haki na amani zinahitajika kwa ajili ya ZZK!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hana shirki na mchawi, ZZK alishasema yeye analinndwa na shetani ukimjaribu utakuta bahari.
 
Back
Top Bottom