Ushauri: Zitto Kabwe aongezewe ulinzi

Ushauri: Zitto Kabwe aongezewe ulinzi

Naunga mkono hoja kwani Zitto amekuwa ni mwiba mkubwa katika kupambana na hii serikali ya majizi, mafisadi na WAUAJI ambao wanaweza kabisa kupanga kuchukua uhai wa huyu mwenzetu katika upambanaji.
Mkuu wapinzani wanaishi kimachale sana! Nimeshuhudia mwenyewe! Mfano Mbowe mwenyewe hata kula hali hovyohovyo nk. Kuna jamaa alisema aliwahi kuwashuhudia kina Lissu huko Mwanza wakati wa kula wakiibadilishana vyakula na vinywaji! Kwahiyo mbali na kuongezewa ulinzi, wenyewe tayari wanaishi kama ukimbizini! Nimeshuhudia mwenyewe nikashangaa sana! Kwakweli mh Mbowe ana nafasi yake kwenye historia ya hii nchi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanastahili kuishi hivyo Mkuu. Hawa wauaji wako tayari kufanya lolote lile ili kuwanyamazisha hawa wapambanaji wote milele.

Mkuu wapinzani wanaishi kimachale sana! Nimeshuhudia mwenyewe! Mfano Mbowe mwenyewe hata kula hali hovyohovyo nk. Kuna jamaa alisema aliwahi kuwashuhudia kina Lissu huko Mwanza wakati wa kula wakiibadilishana vyakula na vinywaji! Kwahiyo mbali na kuongezewa ulinzi, wenyewe tayari wanaishi kama ukimbizini! Nimeshuhudia mwenyewe nikashangaa sana! Kwakweli mh Mbowe ana nafasi yake kwenye historia ya hii nchi!
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .

Kwani ulinzi anapata wap kama sio kwenye tungulili kama za Kigwaks
 
Tusipende kushabikia vitu vya hovyo hovyo kama anavyofanya Zito na watanzania wachache wasiokuwa wazalendo. Kama Zito yeye anasema kuwa kunamatumizi ya fedha za miradi iliyofanywa na serikali bila kufuata utaratibu na wao wanafahamu hilo je swali ni kwamba matumizi hayo yaliyofanyika ni kwa manufaa ya umma au manufaa ya magufuli? watupe hiyo data ili watanzania tupime kuwa miradi hiyo pamoja kutumia fedha za watanzania haina manufaa kwetu ndo tutamuelewa.
Kwa hiyo kama ni kwamaslahi ya umma, mtu yeyote anaweza kujiamulia kutumia pesa za wananchi!!!
umetoa hoja dhaifu sana!
 
na sinunuliki

ila chadema wahuni

ebu kaa chini, zitto before ACT alikuwa chama gani??
That is a reason but it ain't strong, ulimsikiliza alichokuambia? Ukaamimi? Nadhani Hata mtoto wa miaka saba angejua what transpired, he was a friend of the regime not of a person he couldn't distinguish of the two!

Na hakukomaa na kuelewa tofauti hizo, but you didn't understand that maana nikakuona ukamfuata ACT Na sasa uko CCM, but the party you are in now is devoulish hutaelewa kwa sasa, is just like Sadaams BATH party utaelewa baadae tuu.
 
haha sasa wewe TISS unapata presha gani kama niko CCM??
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Chadema mmepanga kumjeruhi zitto kama mlivyofanya kwa Tundu Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .

Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Hahahahaaa eti kontena la risasi
 
Back
Top Bottom