QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
ok sorry ma'mie ke!!
ok sorry ma'mie ke!!
ok sorry ma'
si unajua tena hawa ndoa yao bado changa ''japokuwa anasema bado hawajafunga ndoa'' so baby ni nyingi switiii ndo usiseme lazima waende pamoja, ila ni vizuri pia akajua afya yake!
Ww yako je?
yangu iko sawa namshukuru Mungu!
Mzee yuko wapi mpk sasa hv tunazungumza humu....hutumikii ndoa nw?
nilipitiwa na usingizi, ndoa naitumikia aliwahi kulala! mie usingizi unachelewa!
Nice...so unamchosha analala hahahhaha una hatari
nampepea kwanza akipata usingizi na mimi nautafuta wangu si ndo kutumikia ndoa huku lol!....maisha niliyoyachagua haha ha!!!!
Hahahah unampepea na nn?
yani we acha tuu nashindwa kuandika ni vingi! afu mimi huyo huyo namuamsha!...
Mkuu hiyo siyo hiyari kwa mjamzito ni lazima! huwa wanashauri na wababa waende na wake zao sema wababa wanakula kona.
Mambo ya ajabu kabisa haya aiseee.....mme dinyana weeeee sasa ndo mnataka kupima!!!!Ya Mungu mengi aisee