Ushauri wenu wakuu nimefikwa

Chukua mtoto ishi nae ajir mfanyakazi wa kumuhudumia huduma ulizokua unampatia zote kata kama kodi apo lazima heshima iludi kwa kasi ya 4G
 
Simama kama mwanaume
either force kumchukua mtt uish nae mwenyewe aki lazimisha msusie hata kwa miezi mitatu lazma atakutafuta hv viumbe vya kike vikijua udhaifu wako basi umekwisha
hapo ashajua mtt ndo udhaifu wako hupindui chochote

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: B40
Sawa mkuu nitafanyia kazi

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu miaka miwili bila kumpa mgegedo alafu una lalamika kuwa ana gegedwa nje [emoji15] nafikili hauko serious bro

Nafikil inatakiwa kuwa na maamzi ya kiume juu ya hatima ya mwanao either mchukue mwanao au Mwache siku akijua kuwa baba ni nan atakuja au rudi kwa mkeo muyamalize otherwise Hakuna njia ya wewe kuzuia asiliwe mbunye na ukishindwa kabsa Endelea kufa kwa wivu wa kipumbavu
 
Tena ikiwezekana hata huyo mtoto si wako, endelea kuhudumia tu kaka huenda siku moja akakufikiria.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Chukua mwanao umlee
 
Reactions: B40
Kuna jambo hutaki kusema hapq

"People who failed to achieve something in life think social media is a popularity contest to score cheap points." ~ Mzilikazi wa Afrika
 
Reactions: B40
Kuna jambo hutaki kusema hapq

"People who failed to achieve something in life think social media is a popularity contest to score cheap points." ~ Mzilikazi wa Afrika
Mkuu
Do you think life is a straight line!!?you must be kidding


Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hataki kunipa mtoto anasema nikimuacha sina changu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
mkuu kazi ndogo,mimi nimewahi kukutana na scenario kama hiyo,nilichokifanya ni kupotea kimatumizi,kuanzia yeye na mwanae,mbn akili ilimkaa sawa,sharti langu lilikuwa sihudumii mtoto wala mama yake,akitaka anipe mwanangu tamlea mwenyewe,akajua masikhara,nilipotea kama miaka mitatu hivi bila kujua habari yeyote kuhusu mwanangu,alibana wee mwishoni akili ilivyomkaa sawa alikuja kuomba poo,akanipa mtoto kiulaiiini na baraka zote,coz dogo alishakuwa kaanza kujitambua nikampeleka boarding kutokana na aina ya shughuli zangu za kutokutulia sehemu moja kwa muda mrefu,kikubwa nilimkabidhi mungu jukumu la kumuongoza kiroho,akili na mwili,dogo saiv yupo darasa la 7 na mtihani wa wilaya kashika namba moja,na ninaamini na mtihani wa taifa pia atafanya vizuri,mama yake hajawahi kumwona tena,nataka aje kumtafuta mwenyewe kama mungu atamjalia afike salama na aanze maisha yake,pole sana mkuu,nilivosoma nimeona kama nimeandika mimi aisee,kweli duniani sometimes matatizo yanafanana!
 
Waone ustawi wa jamii wakupe muongozo

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Reactions: B40
Pole sana kaka kama inawezekana kaeni mkubaliane umchukue mtoto kwa maana kama mama hana tabia nzuri hata mtoto hawezi kuwa namaadili maana watoto wanajifunza kupitia watu wa karibu hasa wazazi
 
Reactions: B40
Ndiyo matokeo ya ngono zisizokuwa na future plan.
Ulipokuwa unagonoka ulijua mtoto hatazaliwa!?
Na akizaliwa Kama huishi/hutaki kumuoa huyo mwanamke unadhania nani atamtunza!?

Wakati unagonoka ulikuwa hujui kuwa familia yao yote kuwa ni balaa!?

Beba majukumu yako yote, ulifurahia kula mto ngono sasa unaanza kulialia!

Any way, tunza familia yako acha porojo.
 
Reactions: B40

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…