Ushauri wenu plz

utakuwa na shughuli nyingine mbadala zinazokufanya usisome, vipi kuhusu yale mambo yetu yaleeeeee.... huudhurii sana ukiwa hom? inawezekana yanachangia kama ni active member kwenye hii aina ingine ya elimu..
 
kusoma mpaka wewe uamue kusoma, kama huna hamu ya kusoma ukiwa likizo basi hupendi kusoma ukiwa likizo. Uko kombi gani?
 

inategemea na shule unayosoma, kama private ya ukweli hata kama pcm ukila bata sio mbaya, ila kama shule yenyewe sio kivile kaza sana mchizi wangu, pcm sio mchezo, sikutishi ila mimi naijua iyo kombi ingawa sikuisoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom