Ushauri wenu: Ninahitaji Toyota "saloon car" bajeti yangu haizidi Tsh 12m

Chukua toyota IST....


Note:
Ukisha nuwia kununua gari husiangalie mafuta, angalia usalama wako pia. Ingekua ushauri wangu ningekwambia uchukue bmw series 3 au benz c class zote cc1900 tu, usalama wake imepewa 4 stars.
 
Back
Top Bottom