Ushauri wenu: Nimefikiria nimeona nirudi shule kusoma. Nisomee nini wakuu?

Nenda kasomeee "ukamataji wa dhahabu" inalipa sana
 
Daah mkuu unaweza kufunguka kwamba kuna hasara gani za kusoma vyuo private dhidi ya serilali?

Na vipi unashaurije nikitaka kurudia mtihani ili nikave physics na mathe,hili suala la kurudia mtihani mlolongo wake upoje mkuu?

Asante kwa majibu yajayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nenda Kasome Veta kapige Driving kisha nenda NIT baada mda mfupi tu utakuwa mbali usijichoshe kwenda five six utapoteza hela tu na mda

Au kapige Veta mambo ya Electricity Installation uunge nayo mpaka chuo

Somea Ujuzi usijisumbue kutafuta Credit au kuendelea na 5&6 utajuta baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu napiga kazi sehemu hvyo nataka nipate sehemu ya kusoma ambayo itanipa mda wa kwenda kibaruani kwa sababu nataka nifanye kibarua na masomo.

Kwa hzo credit zangu ujuxi upi naweza pata hzo kozi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi zinazotrend

Librarian

Record management

Kilimo

Kada ya Afya- public jeshini, polisi, magereza,

Laws enforcement- ajira polisi na magereza

Academician hapa upige degree na upate GPA above 3.8.



Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kuna kitu kinaitwa STEM, yaani science, Technology, Economics and Mathematics

Hizi ndizo highly paying fields katika dunia!

Kama unataka kusoma ili uje uajiriwe, basi gusa mojawapo hapo!

Kuna hawa jamaa wanaitwa IT people, wako poa sana na wanahitajika sana dunia ya kwanza, anza kuwafuatilia nao uone kama utaendana nao!

All in all, biashara inalipa sana!

Kasome certificate ya commerce and book keeping hapo cbe kisha rudi mtaani endelea kupiga biashara kielimu zaidi.


*changanya na zako*
 
Daah unajus mkuu ushauri wako ni mzuri sana.
Lakini mimi hobbie yangu ni katika mas,ala ya afya (sayansi)niko napenda sana mambo yalee ys hospitali au yanayohusu afya za watu kama hivyo.

Wakati nipo shule nilikuwa najikuta nafurahi dana nikisoma biology mpaka nasoma kwa sauti mwenyewe kama namfundisha mtu licha ya kuwa shule niliyosoma ilikuwa ovyo kidogo lakini ckufeli kutokana na kupenda kwangu jambo hilo.

Sasa hapa kuna wazo nimepewa la kurudia mtihani wa kidato cha nne kwa baadhi ya masomo ya sayansi ambayo nataka kurudia MATH,PHYSICS NA CHEMISTRY nitafte C katika hayo masomo yote then mwakani tukijaaliwa naingia diploma kabisaa safari inaanza.

Hapo vipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…