Ushauri wenu: Nimefikiria nimeona nirudi shule kusoma. Nisomee nini wakuu?

Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
2,252
Likes
2,057
Points
280
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2018
2,252 2,057 280
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
2,252
Likes
2,057
Points
280
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2018
2,252 2,057 280
Hapo ndipo unapopigia mstari msemo wa ukishindwa maisha rudi shule.
Mkuu shule muhimu sana.

Watu wamekata tamaa ya kusoma utawala huu wanadai hakuna ajira,na mimi nimeona hyo ni nafasi yangu kurudi shulee kujiendeleza najua akimaliza miaka yake 10 na mimi nimeelimika na huwenda nikawa hata na kadigirii,au siyo mkuu?

Nishairi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Northman

Northman

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Messages
696
Likes
922
Points
180
Northman

Northman

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2016
696 922 180
Soma sheria ndo hata kama una F ya maths hawakukatai.
 
900 Inapendeza zaidi

900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
938
Likes
716
Points
180
900 Inapendeza zaidi

900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
938 716 180
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kasomee kilimo na mifugo au misitu
 
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
2,252
Likes
2,057
Points
280
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2018
2,252 2,057 280
Rudi shule ajira zitakuwa nyingi sana awamu ijayo.we bado Mdogo.Wekeza sana kwenye shule

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nisomee nini?

Mana nataka nianze kusoma spidi 120,nina uwezo wa kujilipia ada mwenyewe nashkuru,nataka kuitumia hii chance najua kinachofata baada ya utawala huu.

Nisomee nini mkuu?,nataka kufanya masmuzi sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
2,252
Likes
2,057
Points
280
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2018
2,252 2,057 280
Kwahiyo umechoka kutanua kitaa...?anyway kasomee kilimo,.
Nimechoka mkuu,nilisema nijiendeleze miaka mitatu nyuma ila nikaona raha kukaa kutanua tanua,ila kutahamaki miaka mi4 imepita nikasema ningekuwa nasoma saivi si nimepata hata kadiploma wakuu?.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
4,036
Likes
2,553
Points
280
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
4,036 2,553 280
kuna tofauti kati ya kumiliki "vyeti" na Kumiliki "fedha"....kama unataka vyeti rudi shule ila kama unataka fedha komaa mtaani tafuta upenyo, elimu ya kidato cha nne inatosha sana!
 
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
2,252
Likes
2,057
Points
280
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2018
2,252 2,057 280
kuna tofauti kati ya kumiliki "vyeti" na Kumiliki "fedha"....kama unataka vyeti rudi shule ila kama unataka fedha komaa mtaani tafuta upenyo, elimu ya kidato cha nne inatosha sana!
Fedha nimeimiliki na ndyo itakayonisomeshea hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
2,411
Likes
2,639
Points
280
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
2,411 2,639 280
Mkuu shule muhimu sana.

Watu wamekata tamaa ya kusoma utawala huu wanadai hakuna ajira,na mimi nimeona hyo ni nafasi yangu kurudi shulee kujiendeleza najua akimaliza miaka yake 10 na mimi nimeelimika na huwenda nikawa hata na kadigirii,au siyo mkuu?

Nishairi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shule ni muhimu ndio lakini Elimu ya kwetu ni upotezaji wa Muda, utamaliza upate hiyo degree yakokwa hesabu zangu utakuwa na miaka zaidi ya 35 utakapoanza kulipwa Laki 7 ndipo utajua thamani ya muda.
 
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
2,252
Likes
2,057
Points
280
Safuha

Safuha

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2018
2,252 2,057 280
Shule ni muhimu ndio lakini Elimu ya kwetu ni upotezaji wa Muda, utamaliza upate hiyo degree yakokwa hesabu zangu utakuwa na miaka zaidi ya 35 utakapoanza kulipwa Laki 7 ndipo utajua thamani ya muda.
Mkuu umri wangu bado mdogo sana na nimeamua kusoma kwa sababu home nina uwanja wa nguvu tu soon naanza kujenga bila hata mkopo,so nashkuru Mungu kiasi nataka nikaongeze japo kadiploma tuu.

Miaka saba mbele sifiki hata 32,can you imagine there

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakwale

Chakwale

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
521
Likes
470
Points
80
Chakwale

Chakwale

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
521 470 80
Lengo Kuu la Elimu ni ili uwezo kupambana na mazingira unayoishi, nikimaanisha kwamba iweze kukufanya Uishi maisha bora kuufahamu Ulimwengu na namna ya kuufanya uwe Salama zaidi kwako.. Kuna kwenda shule kupata Cheti ili uonekane umesoma na kuna kuelimika.. Kama umeshaelimika kwa maana ya elimu uliyonayo inakusaidia kuendesha maisha yako vizuri hakuna haja ya kupoteza muda ila Kama Unahisi bado hujaelimika na bila hiyo elimu mambo hayatoenda sawa rudi shule Mkuu.. Ni huyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asclepius

Asclepius

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
448
Likes
458
Points
80
Age
22
Asclepius

Asclepius

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
448 458 80
Tulioko shule tunaambiwa elimu zetu hazitatupeleka popote bora turudi tukapige kazi mtaani mlioko mtaani mnataka kurudi shule hii kweli kasheshe

Ila me imani yangu rudi kasome na kwa matokeo yako kuna baadhi ya fani za sayansi unaweza fiti
Elimu uzuri wake ukiipata umeipata haiondoki tena

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
7,885
Likes
5,959
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
7,885 5,959 280
Kasomee mambo ya biashara....ie financial intelligence hii elimu wengi hawana including maprofesa na ma Dr....ushauri wangu kasome kuongeza uelewa usiende kusoma ili uajiriwe....maana utakuwa unapoteza muda wako bure
 
M

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Messages
2,043
Likes
514
Points
280
M

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2014
2,043 514 280
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Somea ubunge unalipa sana
 
Forum statistics

Threads 1,249,928
Members 481,162
Posts 29,715,012