Ushauri wenu: Nilimuahidi, nifanyaje?

Ushauri wenu: Nilimuahidi, nifanyaje?

hahahhhh atoe hela tu kaahidi mwenywe mbona alikua anamtumikisha dada wa watu

we kaka ukitaka uishi kwa Amani na ili ufanikiwe mpe huyo dada hela uliyomwahidi
Kwani lazima bhana! Situations hairuhusu...afu unaweza kuta huyo anayetoa 2mil. Mkewe hana kazi..

I will never do it!
 
namuonea huruma Transcend na vurugu za babu halaf mm nilishamwambia Transcend sakayo n wa babu hasikii amekuja mmu kuweka kambi mm simo Transcend ni mtu wangu sana
Nivungie tuu! Tutajuana mbele kwa mbele huko...tena natamani huyo babu na sakayo waje hapa...

Ili ngoma inoge...
 
Kwani lazima bhana! Situations hairuhusu...afu unaweza kuta huyo anayetoa 2mil. Mkewe hana kazi..

I will never do it!
havihusiani hivyo awe na kazi asiwe na kazi alipe tu ile ahadi akiyohaidi

halaf Transcend mtata ww eb ngoja tukudiscuss na ndg yangu
 
Kabla hujamfugulia yeye hio saloon, kwanza unatakiwa umyayuwe wife wako kwanza. Ulimuahidi ili umpoze maumivu ya kuwa mpweke, lakini kishapa mwenza wake ndie anaetakiwa kumfanyia kwasasa.


Ndukiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom