Wakuu, naombeni ushauri wenu kwenye hili

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,218
Reaction score
64,325
Kuna kamchepuko kamekuja kunitembelea hapa home, leo ana siku ya pili; na lengo lake la kuja ni ili niweze kurutubisha kijusi kilichopo ndani.

Kweli nimejitahidi kutumia nguvu zangu zote, za kumwagia ndani ili kijusi kiweze kuimarika zaidi na hatimaye azaliwe akiwa na afya kamili.

Changamoto iliyopo kwa sasa; huyu mmama ana hasira sana, na hizi zimeanza tangu abebe ujauzito; kitu kidogo tu anakuwa mkali.

Amekuta vyombo vina mabaki ya nyama; analalamika kuwa nimetumia kiti moto; na yeye hataki nitumie kitimoto kutokana na imani yake. Anasema kutumia chombo kilichowekewa mdudu, kwake ni dhambi, na anasimamia imani yake.

Kibaya zaidi hataki kutumia vyombo vilivyo ndani kwa kupikia, akihisi labda nimepikia mdudu.

Sasa nimemuuliza, hutaki kula mdudu wala kutumia vyombo vilivyotumiwa kuwekewa mdudu; sasa kwa nini ulikubali kupokea mbegu zenye virutubisho vya mdudu, na hatimaye unakaribia kuleta kiumbe chenye virutubisho vya mdudu ? Akashindwa kunijibu.

Wakuu, naombeni ushauri wenu kwenye hili.
 
Kwakweli mlio na wanawake wakali mungu awajaalie sana.

mimi mwanamke mkali kama sijamuoa, siowi!
akiwa mkali nikiwa nae ndani, mmh nitasema baadae
 
Kuna kamchepuko kamekuja kunitembelea hapa home, leo ana siku ya pili; na lengo lake la kuja ni ili niweze kurutubisha kijusi kilichopo ndani.

Kweli nimejitahidi kutumia nguvu zangu zote, za kumwagia ndani ili kijusi kiweze kuimarika zaidi na hatimaye azaliwe akiwa na afya kamili.

Changamoto iliyopo kwa sasa; huyu mmama ana hasira sana, na hizi zimeanza tangu abebe ujauzito; kitu kidogo tu anakuwa mkali.

Amekuta vyombo vina mabaki ya nyama; analalamika kuwa nimetumia kiti moto; na yeye hataki nitumie kitimoto kutokana na imani yake. Anasema kutumia chombo kilichowekewa mdudu, kwake ni dhambi, na anasimamia imani yake.

Kibaya zaidi hataki kutumia vyombo vilivyo ndani kwa kupikia, akihisi labda nimepikia mdudu.

Sasa nimemuuliza, hutaki kula mdudu wala kutumia vyombo vilivyotumiwa kuwekewa mdudu; sasa kwa nini ulikubali kupokea mbegu zenye virutubisho vya mdudu, na hatimaye unakaribia kuleta kiumbe chenye virutubisho vya mdudu ? Akashindwa kunijibu.

Wakuu, naombeni ushauri wenu kwenye hili.​
Mkaangie pua na masikio ya "mdudu" atafune.Ujinga utamtoka.
 
Sio Kila mwanamke wa kuingiza nyumban kwako, Michepuko tunapelekaga lodge hatuleti home. Huo Ubahili ipo siku utakuponza
Kweli wana changamoto; kinachonisaidia huku sio makazi ya kudumu;kwa mazingira haya muda mwingi ni full bachela.
 
Back
Top Bottom