Naomba nianze na Historia fupi kidogo Mwaka 2016 nilikuwa likizo kijijini kwetu nilifahamiana na binti mmoja huko mtoto wa Mwalimu sasa huyu binti alikubali kuwa Mpenzi wangu alionesha kunipenda nami nikampenda kweli ila tatizo lilikuwa moja kila nilipomuomba papuchi alinitolea nje kisiasa Mara Niko Mp nk,Kila aina ya visingizio alivimaliza yaan kiufupi hajawahi nipa kapisa huduma tulikaa muda mrefu sana.Ila huyu binti alikuwa na kiburi kweli ananijibu a avyotaka sametime nilichoka kabisa.Sasa nilipoondoka tukaacha na kuwasiliana ila hivi karibuni kanitafuta na maneno matamu ya kimahaba cha ajabu ni kwamba toka Jana ananambia amekwama anahitaji hela inaoneka ana shida kweli kila muda anasisitiza sasa wakuu mnisaidie nimpe hiyo hela au nimpotezee kama yy alivyonipotezea mwanzo na kula hela zangu.