mxsdk
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 3,584
- 2,056
Jazba za nini mkuu?acha kupanic..umetaka ushauri..upokee!Mkuu tushajenga home bhana kama unaona shida kushauri unaacha tu mkuu.
Jazba za nini mkuu?acha kupanic..umetaka ushauri..upokee!Mkuu tushajenga home bhana kama unaona shida kushauri unaacha tu mkuu.
Hivi eeeenhKama ambavyo dada mawasiliano yake na mahaba yake akiwa na shida ya hela tu......
Mpotezee achana naye huyoNaomba nianze na Historia fupi kidogo Mwaka 2016 nilikuwa likizo kijijini kwetu nilifahamiana na binti mmoja huko mtoto wa Mwalimu sasa huyu binti alikubali kuwa Mpenzi wangu alionesha kunipenda nami nikampenda kweli ila tatizo lilikuwa moja kila nilipomuomba papuchi alinitolea nje kisiasa Mara Niko Mp nk,Kila aina ya visingizio alivimaliza yaan kiufupi hajawahi nipa kapisa huduma tulikaa muda mrefu sana.Ila huyu binti alikuwa na kiburi kweli ananijibu a avyotaka sametime nilichoka kabisa.Sasa nilipoondoka tukaacha na kuwasiliana ila hivi karibuni kanitafuta na maneno matamu ya kimahaba cha ajabu ni kwamba toka Jana ananambia amekwama anahitaji hela inaoneka ana shida kweli kila muda anasisitiza sasa wakuu mnisaidie nimpe hiyo hela au nimpotezee kama yy alivyonipotezea mwanzo na kula hela zangu.
Hakuna mapenzi kati ya ke na me bila ya papuchi na dusheKwahiyo upendo wako upo kwenye papuchi
MPE, iko siku atakupa.Naomba nianze na Historia fupi kidogo Mwaka 2016 nilikuwa likizo kijijini kwetu nilifahamiana na binti mmoja huko mtoto wa Mwalimu sasa huyu binti alikubali kuwa Mpenzi wangu alionesha kunipenda nami nikampenda kweli ila tatizo lilikuwa moja kila nilipomuomba papuchi alinitolea nje kisiasa Mara Niko Mp nk,Kila aina ya visingizio alivimaliza yaan kiufupi hajawahi nipa kapisa huduma tulikaa muda mrefu sana.Ila huyu binti alikuwa na kiburi kweli ananijibu a avyotaka sametime nilichoka kabisa.Sasa nilipoondoka tukaacha na kuwasiliana ila hivi karibuni kanitafuta na maneno matamu ya kimahaba cha ajabu ni kwamba toka Jana ananambia amekwama anahitaji hela inaoneka ana shida kweli kila muda anasisitiza sasa wakuu mnisaidie nimpe hiyo hela au nimpotezee kama yy alivyonipotezea mwanzo na kula hela zangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji8]"Toa ndugu, toa ndugu
Ulichonacho,
Bwana anakuona,
Mpaka moyoni kwako"
Nimejikuta nakumbuka zamani hizo kipindi cha sunday school!!!
Majukumu kwani yeye baba yakeKama unayo mpe, kwan ukimpa lazima akupe? We mpe kama unamsaidia mtu mwingine, akiamua kukupa atakupa lakini usimpe kwa kutegemea atakupa fanya kama sehemu ya majukumu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Majukumu kwani yeye baba yake
thread closed..Me naona ananikumbika akiwa na shidaa tu