Ushauri wenu muhimu nimpe au nisimpe

Kama n chin ya 10000 ( elf 10) MPE ila juu ya hapo ucmpeeeeeeeeee
 
mpe kwakumsaidia tu papuchi co lazima na usimkumbushie kuwa unataka papuchi
 
Achana na mawazo ya papuchi mtu hukumbukwa kwa wema wake, kama unaweza kumsaidia msaidie huwezi acha, kwani tangu ulipokuwa hadi leo hii umeshapewa papuchi ngapi na zimekufanya nini? Zaidi ya kujitia madhambi tu.
 
Tatizo ni kwamba unawaza kuwa sasa tetere anakaribia kuingia kwenye mitego yako...

Kama unataka kutoa hela toa kwa nia ya kusaidia na kama hutaki potezea..m
 
Wewe ulimpenda kweli au ulitaka kula tu ile papuchi yake? Mana unadai yeye alikunyima nawe unataka kulipizia sasa kwa kutompa hela.
 
We fanya kile nafsi yako inakutuma, usimsaidie mtu kwakuwa watu wamekwambia umsaidie, inakuwa haina maana. Unapoamua kutoa msaada toa kwa moyo.
 
hizo pesa unazotaka kumpa huyo ombaomba nenda kanunue hisa za Vodacom pale DSE,ukiona ngumu basi kawekeze kwenye kilimo.ukishindwa kabisa Katoe msaada kwenye vituo vya kulelea watoto Yatima na mungu atukubariki sana.
 
"Toa ndugu, toa ndugu
Ulichonacho,
Bwana anakuona,
Mpaka moyoni kwako"

Nimejikuta nakumbuka zamani hizo kipindi cha sunday school!!!
 
Dume jinga wewe!endelea kuchunwa tuuuuh !!wakati unaweza kuta kwenu kijijini nyumba yavuja au hakuna maji ya bomba wala kisima!
 
Dume jinga wewe!endelea kuchunwa tuuuuh !!wakati unaweza kuta kwenu kijijini nyumba yavuja au hakuna maji ya bomba wala kisima!
Mkuu tushajenga home bhana kama unaona shida kushauri unaacha tu mkuu.
 
Naomba nianze na Historia fupi kidogo Mwaka 2016 nilikuwa likizo kijijini kwetu nilifahamiana na binti mmoja huko mtoto wa Mwalimu sasa huyu binti alikubali kuwa Mpenzi wangu alionesha kunipenda nami nikampenda kweli ila tatizo lilikuwa moja kila nilipomuomba papuchi alinitolea nje kisiasa Mara Niko Mp nk,Kila aina ya visingizio alivimaliza yaan kiufupi hajawahi nipa kapisa huduma tulikaa muda mrefu sana.Ila huyu binti alikuwa na kiburi kweli ananijibu a avyotaka sametime nilichoka kabisa.Sasa nilipoondoka tukaacha na kuwasiliana ila hivi karibuni kanitafuta na maneno matamu ya kimahaba cha ajabu ni kwamba toka Jana ananambia amekwama anahitaji hela inaoneka ana shida kweli kila muda anasisitiza sasa wakuu mnisaidie nimpe hiyo hela au nimpotezee kama yy alivyonipotezea mwanzo na kula hela zangu.
Jasho la mtu halipotei bure mkuu, wewe mpe tu hiyo ela. Alafu ipo siku utakuja kuniambia kwa kinywa chako haya nayokuambia ila make sure uwe na dhamira ya kweli tu moyoni mwako kama unampenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom