Ushauri wenu kwa huu mtihani

Hii ishu ikaushie kma anekufa kumbuka ww ndio mtu wa mwisho kua nae ni msala utakuja kunyongwa hivi hivi kua makini huyo demu ni pepopesa mzee inaelekea apo mmekutana mswahili na mchagga patamu apo.
Hata Mchagga ni mswahili pia.
 
"...usicheze na mchagga kwenye masilahi...", ni kauli ya kifalla na ya kimaku sana. Wachaga ni wabantu wa kawaida sanaaaa
 
Pitia hapa kwanza kabla sijakushauri lolote

 
Sasa rafiki kitendo cha yeye kuruka wakati wewe unaendesha gari ni kesi tayari sasa wewe unaongelea kesi gani tena labda awe hajaumia kabisa kitu ambacho akiwezekani
 
Sasa Huyo dada anataka Umlipie madeni yakee hela alizotumia na bwana wake??? Wewe why Hukumblock mapemaaa maana anataka akutumiee kijanjaaa.. Kama karuka kwenyw Gari achana nae mazima mkuu atakuja Kujiua kisa madeni yake alafu akuachie wewe msalaaa.. Kuna hela za kumsaidia mtu ila sio Mil 2.5 hapana aiseee labda kama Una mahelaaa..
 
hakuna ndumba kweli hapo hebu wasiliana na Mshana Jr halafu umesema alikushauri mfungue bar sio barmaid kweli,nahisi hiyo million 2.5 aliitumia pamoja na mwanaume wake wa zamani Zero IQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…