Katiba ipi kiongozi...!?Mkuu Mother Confessor uliwaza nini kuiweka katibaaa kwenye Post yako ya mapema [emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Oa we mjingaHabari
Kwanza poleni kwa msiba wa taifa.
Niende kwenye mada
Kuna binti mmoja nimekutana nae mwaka mmoja uliopita nikampenda akazungusha zungusha mwisho akakubali kuwa na mimi.
Ila baada ya kukubali kuwa na mimi alitoa sharti moja kwamba kama kweli nampenda anipeleke anitambulishe kwa ndugu zake na baadae kwa wazazi kisha taratibu zingine za ndoa zifuate.
Basi nikafahamiana na ndugu zake na wakanihakikishia kuwa binti yao ana tabia njema kwahyo nisiwe na wasi.
Na tukapanga mwezi wa kujitambulisha kwao rasmi yaani mwezi wa nne.
Ila changamoto kwa huyu binti hajawahi kunipa mzigo kwa kipindi chote cha mwaka mzima na wala hajawahi kuniomba hata shilingi kumi japo hana kipato kikubwa wala hatokei familia ya mambo safi.
Nimetumia mbinu zangu zote za kupata tunda ila zimegonga mwamba anadai hajawahi kukutana na mwanaume na hawezi kukutana na mm bila ndoa.
Katika mahusiano yetu hajawahi kuingia nyumba ninayoishi
Jana tu akiwa na rafiki yake ndo alivuka geti na kuingia ndani ya uzio ila alikataa kabsa kuingia ndani ya nyumba na hiyo ni mara yake ya kwanza kuja kwangu ila kipindi chote akiwa pekee yake anaishia nje ya geti na kugeuza.
Mimi na yeye ni majirani pia ofisi zetu kutoka alipo yeye hadi nilipo ni kama Meter 500.
Kifupi umri wake ni 21, ni mtanzania mwenye asili ya kwa kagame.
Sasa kila siku ananiulizia kuhusu mipango ya ndoa na mimi kila kukicha nazidi kupiga tarehe tu maana napata wasiwasi sana kuoa bila kuonja .
Je nioe bila kuonja au kama akiendelea kunibania nibadili gia angani?
Asanteni.
Naongezea : anakuwaga na aibu sana , na ukimgusa kama kiunoni ama matiti lazima asitukeSifa ya bikra kwa kumuangalia kwa macho tu na ukamtambua iko hivi,
1: Chuchu zake zimesimama bira ya kuvaa brauzi, yaani mfano akivaa tsheti utaona kabisa zimesimama,
2: Anakuwa na tuchunusi tudogo tudogo usoni ambatwo hatuonekani sana mpaka umsogelee
3: kiuno chake huwa sio kikubwa coz hakuna sparm ambazo zisha ingia kurutubisha so huwa na kiuno cha kawaida hata akiwa mnene,
BILA SHAKA UMENIELEWA