Ushauri wenu juu ya mpenzi wangu huyu

Ushauri wenu juu ya mpenzi wangu huyu

Ila baada ya kukubali kuwa na mimi alitoa sharti moja kwamba kama kweli nampenda anipeleke anitambulishe kwa ndugu zake na baadae kwa wazazi kisha taratibu zingine za ndoa zifuate.
Kosa la kwanza lipo hapa kwenye kupewa masharti mkuu.. wewe ndio mwanaume unayetarajia kuoa. Jukumu na maamuzi ya kuoa yanatoka kwako.
So ulipo mtongoza tu na wazo la kuolewa na wewe likamjia?

Mpo kwenye haya mahusiano uliyowekewa masharti kwa Muda gani Mkuu?

wakanihakikishia kuwa binti yao ana tabia njema kwahyo nisiwe na wasi.
Ulienda kujitambulisha kwao kama boyfriend au mchumba ?

Baada ya kuhakikishiwa tabia nzuri ya binti yao na ndugu zake ...
Unampango wowote wa kumchunguza huyo binti tabia au... uta sign tu mkataba ndoa bila kupitia vifungu vyake?

Ila changamoto kwa huyu binti hajawahi kunipa mzigo kwa kipindi chote cha mwaka mzima na wala hajawahi kuniomba hata shilingi kumi
Hahahahaha hawezi kukupa mzigo...
Kwa maelezo yako yeye anachokitaka ni ndoa
Na wewe unachokitaka ni mzigo.

Weww unataka mzigo kwasababu ya tamaa

Na yeye aanataka ndoa kwasababu zake..
Chunguza sababu za yeye kutaka ndoa ya haraka
Kama sababu ni kakupenda sana na wewe ndio chaguo lake...go ahead mkuu
Kifupi umri wake ni 21, ni mtanzania mwenye asili ya kwa kagame.

Sasa kila siku ananiulizia kuhusu mipango ya ndoa na mimi kila kukicha nazidi kupiga tarehe tu maana napata wasiwasi sana kuoa bila kuonja .
Mkuu wewe una miaka mingapi?
Maana huyo binti ni 21 na yeye ndio inaonyesha anaongoza muelekeo wa mahusiano yenu...

Wasiwasi lazima uupate ikiwa kila kitu kinapelekwa fast na kwa kuhimizwa himzwa kila siku.

Kama kweli una mpango wa kuoa Fikiria na wewe ndio uwe kiongozi wa kutoa maamuzi

Pata muda wakutosha mpate kufahamiana vyema.
 
Bikra huyo oa haraka sana kabla wahuni hawajakuzidi kete.
Habari
Kwanza poleni kwa msiba wa taifa.

Niende kwenye mada
Kuna binti mmoja nimekutana nae mwaka mmoja uliopita nikampenda akazungusha zungusha mwisho akakubali kuwa na mimi.
Ila baada ya kukubali kuwa na mimi alitoa sharti moja kwamba kama kweli nampenda anipeleke anitambulishe kwa ndugu zake na baadae kwa wazazi kisha taratibu zingine za ndoa zifuate.
Basi nikafahamiana na ndugu zake na wakanihakikishia kuwa binti yao ana tabia njema kwahyo nisiwe na wasi.
Na tukapanga mwezi wa kujitambulisha kwao rasmi yaani mwezi wa nne.

Ila changamoto kwa huyu binti hajawahi kunipa mzigo kwa kipindi chote cha mwaka mzima na wala hajawahi kuniomba hata shilingi kumi japo hana kipato kikubwa wala hatokei familia ya mambo safi.

Nimetumia mbinu zangu zote za kupata tunda ila zimegonga mwamba anadai hajawahi kukutana na mwanaume na hawezi kukutana na mm bila ndoa.
Katika mahusiano yetu hajawahi kuingia nyumba ninayoishi
Jana tu akiwa na rafiki yake ndo alivuka geti na kuingia ndani ya uzio ila alikataa kabsa kuingia ndani ya nyumba na hiyo ni mara yake ya kwanza kuja kwangu ila kipindi chote akiwa pekee yake anaishia nje ya geti na kugeuza.
Mimi na yeye ni majirani pia ofisi zetu kutoka alipo yeye hadi nilipo ni kama Meter 500.

Kifupi umri wake ni 21, ni mtanzania mwenye asili ya kwa kagame.
Sasa kila siku ananiulizia kuhusu mipango ya ndoa na mimi kila kukicha nazidi kupiga tarehe tu maana napata wasiwasi sana kuoa bila kuonja .
Je nioe bila kuonja au kama akiendelea kunibania nibadili gia angani?

Asanteni.
 
Uyo ana penda ndoa hakupend wewe na husi jaribu kumuoa, huyo atakuwa kamuacha mpenz kwa sababu ana taka kuolewa itakuwa mpenz wake wadhaman hakuwa tayar kumuoa,, Sasa bas ukisha muoa tu'' mkigombana kidogo tu atakuwa ana mtafuta x wake, Mimi ilishawai kunitokea mpenz wangu aliniacha kisa sikuwa tayar kumuoa kwa wakat huo,, kwaiyo yeye akampata boya akaolewa. Sasa baada ya Mwaka akaanza kunitafuta anipe mzigo na wakat yupo ndan ya ndoa.
 
Mpeleke akapimwe kama ameingiliwa!hahaha.usije ukao ukapakuta palamagamba kabudi,mwambie pia unamuoa ila ukikuta panga chunvi unamuacha siku hiyo hiyo akueleze ukweli.
 
Kama nia yako ilikuwa kuoa kwa sababu ulivutiwa na sifa zinazokufaa kuwa mke basi oa weka ufurahie maisha. Kwa mwanamke unauziwa mbuzi kwenye gunia kama kitu kimoja hakipo tu. Uzazi na kama ana maradhi ya kurithi na Ukimwi. Na sijaona ukivitaja hivyo umeridhika na alivyo.

Na kama ulishawishika kuanzisha mahusiano ili ule mzigo usepe tafadhali mwache amtafute anayemfaa wewe endelea na kuwatest kabla mpaka siku utakapompata mnayeendana. Usipoteze muda wa binti wa watu.
 
Mpeleke akapimwe kama ameingiliwa!hahaha.usije ukao ukapakuta palamagamba kabudi,mwambie pia unamuoa ila ukikuta panga chunvi unamuacha siku hiyo hiyo akueleze ukweli.
Nimeshamwambia hivyo
 
Habari
Kwanza poleni kwa msiba wa taifa.

Niende kwenye mada
Kuna binti mmoja nimekutana nae mwaka mmoja uliopita nikampenda akazungusha zungusha mwisho akakubali kuwa na mimi.
Ila baada ya kukubali kuwa na mimi alitoa sharti moja kwamba kama kweli nampenda anipeleke anitambulishe kwa ndugu zake na baadae kwa wazazi kisha taratibu zingine za ndoa zifuate.
Basi nikafahamiana na ndugu zake na wakanihakikishia kuwa binti yao ana tabia njema kwahyo nisiwe na wasi.
Na tukapanga mwezi wa kujitambulisha kwao rasmi yaani mwezi wa nne.

Ila changamoto kwa huyu binti hajawahi kunipa mzigo kwa kipindi chote cha mwaka mzima na wala hajawahi kuniomba hata shilingi kumi japo hana kipato kikubwa wala hatokei familia ya mambo safi.

Nimetumia mbinu zangu zote za kupata tunda ila zimegonga mwamba anadai hajawahi kukutana na mwanaume na hawezi kukutana na mm bila ndoa.
Katika mahusiano yetu hajawahi kuingia nyumba ninayoishi
Jana tu akiwa na rafiki yake ndo alivuka geti na kuingia ndani ya uzio ila alikataa kabsa kuingia ndani ya nyumba na hiyo ni mara yake ya kwanza kuja kwangu ila kipindi chote akiwa pekee yake anaishia nje ya geti na kugeuza.
Mimi na yeye ni majirani pia ofisi zetu kutoka alipo yeye hadi nilipo ni kama Meter 500.

Kifupi umri wake ni 21, ni mtanzania mwenye asili ya kwa kagame.
Sasa kila siku ananiulizia kuhusu mipango ya ndoa na mimi kila kukicha nazidi kupiga tarehe tu maana napata wasiwasi sana kuoa bila kuonja .
Je nioe bila kuonja au kama akiendelea kunibania nibadili gia angani?

Asanteni.
Mwambie unataka kuhakikisha ni bikra kweli
 
Badili gia
 
We na wewe mwambie asipokuwa na bikra hakuna ndoa. Ukikuta mtelezo kesho yake talaka
 
Back
Top Bottom