USHAURI: Wasemaji wa Polisi kuna la kujifunza hapa, mlisema Dkt. Shika si chochote si lolote ni wa kupuuzwa!

wewe unataka uthibitisho gani mtu ametaja vyombo ,bank na ametia documents sasa wewe unataka ushaidi gani tena ushahidi hufutwa kwa vielelezo wewe unatoa vielelezo gani kuwa jamaa dk shika hajapata mpunga
Wewe ndo maana unaitwa kizwezwe maana yake huna akili...Mkuu hv ushahidi unaozingumzia ni wa picha za gold zilizo kwenye ipad na sio picha halisi za Gold...au picha za pesa zilisaviwa kwenye Ipad kuliko picha halisi za fedha?Au kile cheti feki cha UN (Na hapo hujiulizi UN imeingiaje tena hapo?) Halafu eti dola 16milioni zisafirishwe kwa dola 70 na kampuni ya ulinzi??ujinga wote huu ndo unauita evidencw???....unaamini kweli dunia ya leo unaweza kusafirisha pesa kwenye masanduku unapita nayo airpoti?Una elimu gani kwanza Mkuu?
 
hahahah
 
Shika bado ni mganga njaa tuu wasafiri wengi uchanganyikiwa na kutoa hadith za alikoishi kwamba alishika hela Mara ametapeliwa hizo ni hadith tuu mabaharia wengi miaka ya nyuma wa Temeke na magomeni waliochoka ndio walikua na hadith kama za Shika...mwisho wa siku inabaki kuwa story tuu kama hii ya Shika..
 
yule wa merelani na hadithi zake za kugundua Tanzanite mwisho wa picha alipewa mil 100
 
Dk Shika ni "tajiri mstaafu"

Magazeti ya udaku yanajitahidi kumrudisha ili yauze nakala za kutosha kwa sababu watz wanajua mwelekeo wao.
 
wewe unataka uthibitisho gani mtu ametaja vyombo ,bank na ametia documents sasa wewe unataka ushaidi gani tena ushahidi hufutwa kwa vielelezo wewe unatoa vielelezo gani kuwa jamaa dk shika hajapata mpunga
Hivi huwa mnasoma content nzima au mnaishia heading pekee?.
BOT wamekataa kuwa hakuna ishu kama hiyo wewe unasema bank imethibitisha,bank ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejeeni issue ya TRA na Mch. Kakobe, baada ya TRA kufanya uchunguzi wao wakatoa taarifa za Bank za kanisa, Bank walipinga taarifa hiyo kwa vile ni issue binafsi kati ya mteja na Bank hairuhusiwi kutetolewa kwa umma, iweje taarifa za Dr. shika zitolewe hovyo hovyo? akili za kuambiwa changanya na zako, hakuna kitu hapo wadangayika uuuuwi ngachooka sana
 
Kuna bro wangu mmoja alikuwa tapeli maarufu sana, aliniambia kitu kimoja, mjini wajinga hawaishi

Yani umeamua kumuamini dk shika kabisa?upuuzi mimi huwa siamini mtu akisema mpaka nithibitishe kwa njia zangu, si quote mtu fulani kasema nini nitasema on my own experience...hapa ndio watu mnapotapeliwa
Wajinga hawaishagi ndo maana hadi Leo karata tatu bado watu wanapigwa na simu za sabini Ubungo bado zinanunuliwa.
 
Back
Top Bottom