USHAURI: Wasemaji wa Polisi kuna la kujifunza hapa, mlisema Dkt. Shika si chochote si lolote ni wa kupuuzwa!

Ndo maana CCM wanatuongoza miaka nenda rudi, wajinga na wadanganyika hawaishi nchi hii.

Yaani wewe kweli umeamini?
 
Ni vigumu kwa ngamia kupenye kwenye tundu la sondano. Leo majira ya saa 3:25 asbh, natokea RITA tower kuja mtaa wa jamhuri kufika kwenye makutano Dr. Shika huyu kasimama yuko vilevile haelekei na hayo msemayo amejawa na soni. Nilimwangaliaaa nikajisemea Yajayo yanafurahisha.
 
hahahahh imebidi nicheke tu
 
zile documents ni za uongo? wanahabari wamethibisha pia pesa zilifika BOT nao waongo? kama dr. shika ni muongo; kwanini jeshi lisiwakamate wanahabr wanaomhoji na kurusha taarifa?
Wabongo mbona mnadanganyika kirahisi ndiyo maana ccm inawadanganya kila baada ya miaka mitano kwa kuwapa kanga mnaipgia kura.
Afisa mawasiliano wa BOT kakanusha hicho kitu hakipo na wao wanaona kama taarifa za uzushi mtandaoni.
UN hakuna kitengo kama hicho wala hakuna certificate ya hivyo ya kuhamisha pesa.
Pesa siku hizi haihamishwi kama mafungu ni jambo la wire transfer TT we unachukua mzigo wako mabenki yatajuana yenyewe kuhusu kuhamiashiana kwa utaratibu wao.
Ukigoogle aliye sign hiyo certificate utakachoambiwa ni scamer.
Hivi bundle mnazitumia kusoma wakina wema tu?
Hahitaji hata kuwa na degree kujua kuwa dr shika kakumbana na matapeli wa mtandao na u dr wake naye ni zuzu tu na mnaomuamini sijui tuwaiteje.
 
Dah! Baado tuna safari ndefu saana. Mtoa mada kama kama haupo "kistrategically" basi haufai kuitwa great thinkers
 
Dr. Shika sio mzima kichwani ni wa kumpuuza.
Watanzania tuache kuamini mambo ya ajabu ajabu, kama eti mzigo umemganda mtu aliyeuiba. Hatimaye imefahamika ulikuwa ni utapeli.
Na Shika hana jipya, ulofa haufichiki na mwenye nazo anaonekana.
 
wewe unataka uthibitisho gani mtu ametaja vyombo ,bank na ametia documents sasa wewe unataka ushaidi gani tena ushahidi hufutwa kwa vielelezo wewe unatoa vielelezo gani kuwa jamaa dk shika hajapata mpunga
 
kwahiyo tumwamini shika au msemaji wa B.O.T?
 
Dr. Shika sio mzima kichwani ni wa kumpuuza.
Watanzania tuache kuamini mambo ya ajabu ajabu, kama eti mzigo umemganda mtu aliyeuiba. Hatimaye imefahamika ulikuwa ni utapeli.
Na Shika hana jipya, ulofa haufichiki na mwenye nazo anaonekana.
waaandishi waliomhoji nao hawajielew
 
wewe unataka uthibitisho gani mtu ametaja vyombo ,bank na ametia documents sasa wewe unataka ushaidi gani tena ushahidi hufutwa kwa vielelezo wewe unatoa vielelezo gani kuwa jamaa dk shika hajapata mpunga
Wewe ndo maana unaitwa kizwezwe maana yake huna akili...Mkuu hv ushahidi unaozingumzia ni wa picha za gold zilizo kwenye ipad na sio picha halisi za Gold...au picha za pesa zilisaviwa kwenye Ipad kuliko picha halisi za fedha?Au kile cheti feki cha UN....unaamini kweli dunia ya leo unaweza kusafirisha pesa kwenye masanduku unapita nayo airpoti?Una elimu gani kwanza Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…