Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,927
- 6,417
Hakuna duniani aliyeweza wasilence watu akaweza aliishia kuukimbiza upepo tu.Wasiposema ndani watasema nje.Uovu haujawahi ishinda Jamii fanya stud.Nyerere aliweza zama za Giza,Kim ameweza sababu anamiliki mifumo yake isiyoingiliana na duniani,hivo akiamua awatoe kafara watu 1000 kwa miungu yake anaweza na dunia haiwezi juaNa ndiyo maana mapema sana nami nimeamua leo Kuwatahadharisha kwani nimedokezwa zoezi linaendelea pia kwa wengine.
Mbona hamumpati kigogo2014 au amewazidi ujanja mtoto wa mjini?Hivi Tanzagiza iko wapi?
Mmiliki wake alikuwa nani?
Mamlaka ikiamua kukupata ni dakika 0 tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili zako kigogo hawezi kupatikana? Na ndio anavyowadanya eti hawezi kupatikana! Muulize Kabendera atakujibu vizuri san.Mbona hamumpati kigogo2014 au amewazidi ujanja mtoto wa mjini?
Samsung Galaxy
Jibu swali tangu mmeanza hizo mbwembwe mmefikia wapi ana anatamba kila sikuKwa akili zako kigogo hawezi kupatikana? Na ndio anavyowadanya eti hawezi kupatikana! Muulize Kabendera atakujibu vizuri san.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache atambe hata wenzie walianza kwa kutamba!Jibu swali tangu mmeanza hizo mbwembwe mmefikia wapi ana anatamba kila siku
Samsung Galaxy
Mkuu msimamo binafsi ni human right au vipi?Mtu ambaye anajifanya Gangwe wa Mitandaoni halafu anatumia Utambulisho wake wa Kificho simuamini na namuona Mnafiki.
Hivi pale pembeni ya Mdude kwenye ile picha akiwa na pingu mahakamani umemuona kigogo 2014?
Umemuona Mange?
Umemuona Zitto?
Umemuona Mbowe?
Umemuona Mdee??
Umemuona Lema?
Umemuona Fatuma karume?
Umewaona wale wafuasi wake waliokuwa wana like matusi yake?
Nauliza umewaona hao wakimsaport ndugu Mdude nao wakiwa wamefungwa pingu pamoja nae?
Umeona hata maandamano ya watu 5 tu kumsapot ndugu Mdude?
Tafakari sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Watu wanadhani labda hili ANGALIZO nililoliweka hapa nimeliweka ili mradi tu. Jamani tuwe makini na tuwe pia na Kiasi.
Sawa mkuu mchana mwema bhanaNimemwona Crimea. Vipi umefurahi sasa?
Bye bye amigo don't remember even to write back.
Nchi imefika kusiko sasa jamani tuwe makini uchaguzi ujao!1. Acha Kuwaamini kwa 100% wale Watu wanaojifanya ni wa karibu Kwako.
2. Tumia ID iliyo anonymous na siyo ile ambayo inakutambulisha Kiuhalisi na wengi wanaijua.
3. Acha kupenda hovyo Wanawake au Wanaume kwani kwa 100% hao ndiyo watatumika Kukumaliza.
4. Hakikisha Mizunguko yako yote ya Siku uwe unaijua Wewe tu na ikiwezekana iwe ni ya Zig Zag Style.
5. Ukiona kuna Watu wanakusifia na kukupongeza kwa uanaharakati wako waangalie mara mbili mbili.
6. Wa Kumkaribisha Kwako awe ni Mama au Baba yako tu kwani Ndugu / Marafiki wengine hutumika.
7. Ukijua unaviziwa ama toa Taarifa kwa Watu mapema na ikiwezekana piga Picha Matukio yote.
Tuwe makini sana na nasisitiza tena tuwe makini mno na namalizia kusisitiza kuwa tuwe makini zaidi Maadui zetu hawalali 24/7.
Mimi natembea na Berreta 9mm muda wote
Nina uzoefu wa kutosha hata kumzidi ZakariaUsiache kupata na ka uzoefu tokea kwa washupavu kama kina Zachariah.
Nina uzoefu wa kutosha hata kumzidi Zakaria
Siku wakijipendekeza mtasikia vilio kila kona
Hata Mandela alikaa jela pekee yake.Hivi pale pembeni ya Mdude kwenye ile picha akiwa na pingu mahakamani umemuona kigogo 2014?
Umemuona Mange?
Umemuona Zitto?
Umemuona Mbowe?
Umemuona Mdee??
Umemuona Lema?
Umemuona Fatuma karume?
Umewaona wale wafuasi wake waliokuwa wana like matusi yake?
Nauliza umewaona hao wakimsaport ndugu Mdude nao wakiwa wamefungwa pingu pamoja nae?
Umeona hata maandamano ya watu 5 tu kumsapot ndugu Mdude?
Tafakari sana!
Sent using Jamii Forums mobile app