Mkuu wangu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Ushauri siku zote hutolewa kwa mapenziMwanzoni nilidhani una nia kweli ya kumshauri zito ila baada ya post hii naanza kutilia shaka kama nia yako ilikuwa ni kumshauri zito au ulitaka kupima upepo kama imani ya watu imepotea kwa zito.
Nakushangaa kwamba bado unamtetea zito kuwa anapakwa matope wakati vituko vya zito vinaoneka wazi katika matamko yake. Hata mbumbumbu hapati shida kuelewa anachokifanya zito ktk matamko yake. Kama una nia njema na zito ungana na sie tunaosema wazi kwamba zito anatumiwa na ccm. CCM wanajua kuwa hawana njia nyingine ya kuiyumbisha chadema zaidi ya kumtumia Zito, wanajua kuwa chadema wakimchukulia hatua zito basi ile zana ya ukabila na udini wanayojaribu kuipandikiza itapata nguvu. Bahati nzuri viongozi wa chadema wanalijua hilo na wako makini, wamemwacha zito aendelee kuropoka wakijua wakati utafika ambapo zito atajiangusha mwenyewe na hapo ndio atagundua CCM ni nani.
Mkuu wangu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Ushauri siku zote hutolewa kwa mapenzi
na sio chuki. Na pengine nikushangae wewe unayetaka nimpe ushauri Zitto kwa hasira na kumsemea hovyo, sijui kama mtu hyo atachukua ushauri wangu..
Zitto ni mwana Chadema, tupo ktk mashua moja na hivyo siwezi kutoa matusi kama nayoyasoma humu isipokuwa kumwelekeza pale napomwona ana mapungufu ama anapotoka kwa moyo mkunjufu kabisa. Na sijui kama umewahi kunisoma ktk mada nyingine niliandika wazi kabisa kwamba CCM wana mtumia Zitto kama weakest link kisiasa kwa sababu Zitto sii mwanasiasa japokuwa anafikiri kisha komaa kisiasa.
Mkuu ushauri mzuri sana huu.Hukuanza leo wala jana harakati zako kisiasa,najua na wananchi wanajua umefanya mengi ktk siasa za nchi yetu na ni mazuri tu. Mwanaharakati kama wewe si ajabu wala kashangaza unapokuwa na hamu ya kuwa Raisi mwisho wa siku.Na ninawasihi wanaCDM na wananchi kwa ujumla tusimnyooshee kidole kibaya Zitto coz ni hali ya kawaida kabisa na ni haki yake ya msingi kuwa na ambitions za uraisi na mwanasiasa yeyote aliyefikia mafanikio ya juu japo kidogo,hupenda kwenda zaidi ya alipo
Zitto tumekusikia, tumekuelewa na hatukukatazi, lakini naomba uchukue ushauri wangu brother.CHADEMA kiko safarini hivi sasa kuelekea kule vijijini na miji tata kujiimarisha,kinatizamwa kama Chama mbadala kwa sasa na wananchi waliowengi hata baadhi ya wanaCCM.
Unaifahamu mikakati ya Chama ni kwenda kwa kila raia na kueleza dhamira ya chama,kwanini usijikite,ukaungana na wazalendo wenzako ktk chama kupigana na adui kwanza, mkamtoa nyoka ndani ya nyumba,ndipo mkae kitako nani awe mkuu wa nyumba.
Kwa nini usijiunge katika ktk common goal hii! Si muda muafaka kuanza kugawana mali za baba wakati baba ni mgonjwa,yafaa tushukulikie uhai wake kwanza.Au unasahau tunajenga nyumba moja,na fito yako,ya Mbowe,ya Dr Slaa,ya Heche, ya Malya,ya kasulumbai,Msigwa na Sugu,ya Lisu Dr safari,Baregu,ama ya Halima,Wenje na hata Marehem Regia,zote zinahitajika kukamilisha ujenzi.
Tunahitaji fito sasa kwa sasa,sote tulete fito,ukileta rangi saa hizi haitafaa sana japo tutaihitaji baadae ila nahofia ita-expire kabla hatujafikia hatua hiyo.
Mbona muda wa kuzungumzia habari za Uraisi badoooo! Tutumie miaka hii kabla ya 2015 kukipatia ushindi chama mbele ya umma wa watz halafu utatumia nguvu ndogo sana kwenye hiyo dhamira yako ifikapo 2015.
By the way,unafahamu kabisa katiba ya sasa haikuruhusu kugombea,hilo pekee linatosha kukufanya uwe na kiasi na subira pia,lakini si neno.
Kuna Mchakato unaoendelea kuelekea Katiba mpya, mchakato ambao kwa hakika umefanikishwa kwa kiasi kikubwa na Chama chako, suala la umri ktk kuwania uraisi likiwa kipaumbele kwa CDM, hii ni kwa sababu ya imani ya chama kwa vijana wewe ukiwemo. Kwanini usikiweke chama mbele ili kipiganie mazingira ya kisiasa ambayo mwisho wa siku yatakua favor kwako?
Huoni kama unadhoofisha nguvu ya chama kwa kiasi kikubwa?
Usifanye hivyo brother usijeingia ktk historia mbaya kuzuia mabadiliko
Hukuanza leo wala jana harakati zako kisiasa,najua na wananchi wanajua umefanya mengi ktk siasa za nchi yetu na ni mazuri tu. Mwanaharakati kama wewe si ajabu wala kashangaza unapokuwa na hamu ya kuwa Raisi mwisho wa siku.Na ninawasihi wanaCDM na wananchi kwa ujumla tusimnyooshee kidole kibaya Zitto coz ni hali ya kawaida kabisa na ni haki yake ya msingi kuwa na ambitions za uraisi na mwanasiasa yeyote aliyefikia mafanikio ya juu japo kidogo,hupenda kwenda zaidi ya alipo
Zitto tumekusikia, tumekuelewa na hatukukatazi, lakini naomba uchukue ushauri wangu brother.CHADEMA kiko safarini hivi sasa kuelekea kule vijijini na miji tata kujiimarisha,kinatizamwa kama Chama mbadala kwa sasa na wananchi waliowengi hata baadhi ya wanaCCM.
Unaifahamu mikakati ya Chama ni kwenda kwa kila raia na kueleza dhamira ya chama,kwanini usijikite,ukaungana na wazalendo wenzako ktk chama kupigana na adui kwanza, mkamtoa nyoka ndani ya nyumba,ndipo mkae kitako nani awe mkuu wa nyumba.
Kwa nini usijiunge katika ktk common goal hii! Si muda muafaka kuanza kugawana mali za baba wakati baba ni mgonjwa,yafaa tushukulikie uhai wake kwanza.Au unasahau tunajenga nyumba moja,na fito yako,ya Mbowe,ya Dr Slaa,ya Heche, ya Malya,ya kasulumbai,Msigwa na Sugu,ya Lisu Dr safari,Baregu,ama ya Halima,Wenje na hata Marehem Regia,zote zinahitajika kukamilisha ujenzi.
Tunahitaji fito sasa kwa sasa,sote tulete fito,ukileta rangi saa hizi haitafaa sana japo tutaihitaji baadae ila nahofia ita-expire kabla hatujafikia hatua hiyo.
Mbona muda wa kuzungumzia habari za Uraisi badoooo! Tutumie miaka hii kabla ya 2015 kukipatia ushindi chama mbele ya umma wa watz halafu utatumia nguvu ndogo sana kwenye hiyo dhamira yako ifikapo 2015.
By the way,unafahamu kabisa katiba ya sasa haikuruhusu kugombea,hilo pekee linatosha kukufanya uwe na kiasi na subira pia,lakini si neno.
Kuna Mchakato unaoendelea kuelekea Katiba mpya, mchakato ambao kwa hakika umefanikishwa kwa kiasi kikubwa na Chama chako, suala la umri ktk kuwania uraisi likiwa kipaumbele kwa CDM, hii ni kwa sababu ya imani ya chama kwa vijana wewe ukiwemo. Kwanini usikiweke chama mbele ili kipiganie mazingira ya kisiasa ambayo mwisho wa siku yatakua favor kwako?
Huoni kama unadhoofisha nguvu ya chama kwa kiasi kikubwa?
Usifanye hivyo brother usijeingia ktk historia mbaya kuzuia mabadiliko
Katika wabunge vijana niliokuwa nawavulia kofia ni pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe, tunakumbuka jinsi awamu yake ya kwanza ya ubunge alivyokuwa akijenga hoja vizuri na hadi kuna wakati alifikia kusimamishwa ubunge kwa ajili ya ujasiri wa kusimamia msimamo wake. Lakini kwa sasa tumeona wabunge vijana wengi, wamekuja juu na tayari wanamfunika Zitto Kabwe. Najua Zitto Kabwe ameweza kufanya mambo mazuri na kuonesha mfano kuwa vijana wanaweza katika kuongozo lakini nakiri na ningependa sio Zitto tu, na wapenzi wake wengine wakiri kuwa Zitto kiasi amepwaya katika siasa mwaka huu. Mwaka huu nimeshuhudia Zitto akipotoka kwa baadhi ya mambo mfano:
1. Wakati akisoma maoni ya upinzani kuhusu bajeti ya Serikali aliharibu na ndiyo maana alitoa nafasi kwa Gamba Mwigulu kuichana chana bajeti mbadala ya upinzani. Hapa hata yeye alikiri kufanya makosa.
2. Alikurupuka kutaka kuingilia sakata la TANESCO ambalo tayari lilishaanza kufanyiwa kazi na mamlaka ingine, hii pia alijitetea sana na kuonekana kubadilika msimamo na hadi kutishia kwamba yeye yupo tayari kuachia ngazi ili ainusuru Kamati yake. Ikumbukwe kuwa wakati akisema watafanya uchunguzi alikuwa kama anaona TANESCO wanaonewa, baadaye akageuka eti hakuwa na maana hiyo.
3. Amekuwa akituhumu kuna watu wanataka nafasi zake, ya Uenyekiti wa Kamati, Usaidizi Kuongoza Kambi ya Upinzania bungeni, na kuzengea ugombeaji wa Uraisi mwaka 2015.
4. Amekuwa anatishia na kutaka kuogopwa, kumbuka hapa pia anatuhumiwa kumwandikia ujumbe wa simu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini kwamba yeye "hana bei".
5. Ameshindwa kueleweka katika maelezo yake ya hivi karibuni alipojaribu kuelezea sakata la yeye kutajwa kufagiliwa njia ya uraisi 2015 pale ilipoandikwaa magazetini, n.k, kutokana na tamasha la wasanii lililofanyika Kigoma.
6. N.K.
And the list goes on and on....
My advice: Zitto ajiangalie upya kwani inawezekana ndiyo anasererekea bondeni.
zito nakushauri urudi ccm na ukagombee ubunge kwa kupitia huko au vyama nipya vilivyoanzishwa na ccm kwa ajili ya kuikabili chadema ambavyo ni chauma ,adc na vingine wanavyovijua wao. nasema hayo sababu nyingi lakini nitasema chache.
1.wakati viongozi wa juu wote wa chadema wanapambana kwa kutumia m4c zito haujaonekana hata kwenye mkutano mmoja ikiwa kama ni kutotaka kutamka maneno ya kuwaudhi waliokutuma kuichafua chadema.
2.zito unapopeleka hoja yoyote bungeni inakuwa ya kujijenga binafsi na si kwa maslahi ya wanyonge wengi na wabunge wa upinzani hususani chama chako na hii ni pamoja na kutokutoka nje ya ukumbi wa bunge pale chadema wanapofanya hivyo kwa maslahi ya chama chao.
3.umejisifu sana kuwa wewe ni muadilifu na unao uwezo wa kuwa rais wa nchi 2015 kwa hili umekosea maana njia uliyoitumia ni mbovu sana maana kuna vikao vya chama ambavyo ungevitumia kueleza hoja yako lakini kwa kutumia waandishi wa habari na bunge na vijana wako wa kigoma halitakusaidia kufika huko maana nyuma yake inaoonekana kuna baraka za bwana mkubwa ili muivuruge chadema.
4.taarifa zisizo rasmi zinaonyesha urafiki wako wa karibu na jakaya na ridhiwani ni mashaka makubwa sana maana hakuna sehemu yoyote ambayo umemlaumu rais wa nchi kwa udhaifu wake bali amekutumia kumdhalilisha waziri mkuu kwa maslahi ya ikulu na si kwa upinzani unaposema serikali haiko makini bado unaficha kumtaja jakaya moja kwa moja sababu ya agenda zenu za siri ambazo wana ccm na wanachadema wengi wameliona.
Umeingizwa kwenye orodha ya wala rushwa wabunge kwa makusudi tu kuichafua chadema na si vinginevyo na hili unalijua vizuri.sidhani kama kupitia chadema utafanikiwa ndoto zako maana chadema wako makini ndio maana hakuna kiongozi wa juu wa chama aliyejibu hoja zako za kuutaka uraisi kiurahisi ushauri wangu kwako utangaze adharani kujiunga kwako na kundi la shibuda nakutakia safari njema.m4c daima.
Sizungumziii katiba ya chama, nchi wala sheria bali fursa na nafasi ya Upinzani ktk uwakilishi wake. Nafasi anayoitumia Zitto mara nyngi huonekana kama mgombea binafsi au kuhoji kwa marekebisho ya njia za utekelezaji wa sera wakati anajua fika ni sera mbovu za CCM ndizo zimetufikisha hapa tulipo. Sasa huo Uhuru ni upi? au unazungumzia swala ya yeye kutangaza kugombea Urais?..Mkandara,
Chama kisiendeshe kwa emotions. Kiendeshwe kwa kutumia katiba ya chama bila kumnyima mtu uhuru wake wa katiba ya nchi au uhuru wa kisheria.
Anayozungumza Zitto hayavunji katiba ya CDM, ya nchi, au sheria. Sasa ni demokrasia gani mnayotaka ya kuendesha nchi wakati ndani ya chama hakuna ushindani?
Sizungumziii katiba ya chama, nchi wala sheria bali fursa na nafasi ya Upinzani ktk uwakilishi wake. Nafasi anayoitumia Zitto mara nyngi huonekana kama mgombea binafsi au kuhoji kwa marekebisho ya njia za utekelezaji wa sera wakati anajua fika ni sera mbovu za CCM ndizo zimetufikisha hapa tulipo. Sasa huo Uhuru ni upi? au unazungumzia swala ya yeye kutangaza kugombea Urais?..
Maana hata hili ukilitazama kwa makini katiba na kanuni za chama chake Majina ya wagombea hupendekezwa na wanachama sio mtu yeyote anaweza kutangaza nia hiyo. Na kati ya majina yalopendekezwa ndipo hupatikana mmoja alowazidi wote kura za maoni. Hii ni demokrasia ya chama na sii matakwa ya kila mtu. Ifike wakati tusome ya kujua uhuru wa katiba na kisheria tulopewa kwa kutumia katiba na sheria za CCM. Na kama unakumbuka Dr.Slaa alipendekezwa yeye kusimama japokuwa hakuweka nia yake ya kugombea Urais. Ni wanachama ndio humchagua mgombea wao kwa mapendekezo yao sio kila mtu anavyojisikia..
Na asikudanganye mtu, kila kiongozi Chadema, CUF au CCM kote kila mtu anataka kuwa RAIS na tusipoangalia vizuri ndio yale ya kuwa na vyama 20 nchini vikigombea kuongoza nchi ilihali vyama vyote vinasimamia Itikadi moja. Vimejitokeza kwa sababu ni watu hawaelewani sio swala la sera kutofautiana.. CDM inataka chama ndio kichukue mamlaka ya kuongoza nchi na sio jina la mtu kwa umaarufu wake kuwaweka Ikulu.
Bro whats wrong with you? Did I show any sign of being upset or is it my advice to him? beside I never touched his ambitions til you brought this. People have the say (People's power) who they want to be their Leader and not one person ambition.. Yes, It is democracy as long as some among them want Zitto to lead not Zitto for Zitto... It's not about who stand the change rather peoples choice of who can lead all the people not some of us to accomplish his ambition..Nowhere did I say Dr.Slaa is my choice, or he stand a good chance of winning the coming election.If Zitto doesn't violate CDM's constitution or charter, why are you so upset? To be honest with you, Zitto isn't a problem. For, he's been clear and open about what he wants to accomplish, in short and long terms as well. He wants to be the president and he has done his home work.
On the other hand majority of CDM's supporters, probabaly you too, are a real problem. For they have already accepted that Dr. Slaa should be the candidate for the 2015 general election. They believe that Dr. Slaa has a realistic chance to win the election.
Those who have accepted the automatic candidacy of Dr. Slaa are doing exactly what Zitto does. They have advanced the candidacy five years before election. Is this democracy? Absolutely not.
Mkuu ushauri mzuri sana huu.
Hapo kwenye bold:ndiyo msimamo wa wengi wetu humu JF.Hata wale wanaopingana na kauli zake za kutaka urais,haina maana kwamba hawajui kuwa ana haki hiyo.Uliyoyazungumza hapo juu ndiyo haswa wamekuwa wakiyasema wengi wetu humu.Sema ni lugha na namna ya kuexplain,lakini kila anayepinga,nyuma yake ukiwauliza sababu wanakupa hizo hizo ambazo umezitoa hapo juu.
Wengi humu hawasemi kuwa "Zitto hafai kuwa rais",bali wanasema "Zitto anafaa kuwa rais,but...",Yani ni yes,but...
Mkandara,nasikitika kusema kwamba ushauri wako haujazingatiwa."A one man army"
Bro whats wrong with you? Did I show any sign of being upset or is it my advice to him? beside I never touched his ambitions til you brought this. People have the say (People's power) who they want to be their Leader and not one person ambition.. Yes, It is democracy as long as some among them want Zitto to lead not Zitto for Zitto... It's not about who stand the change rather peoples choice of who can lead all the people not some of us to accomplish his ambition..Nowhere did I say Dr.Slaa is my choice, or he stand a good chance of winning the coming election.
waziri samwel sitta aliposema chadema haijawa na watu wa kuongoza dola isipokuwa dr slaa mkamshambulia. Waandaeni watu watakaokamata dola, kupiga kelele ni kitu kingine na kuongoza ni upande mwingine.ili kurally behind chadema liwe jambo la maana kwa zitto kwanza inabidi vikao vya chadema viendeshwe kidemokrasia na sio kiubabe ubabe wa mwenyekiti na wazee wa chama.
Chama ambacho katiba yake inasema kila mwanachama ana haki ya kugombea uongozi lakini ikifika wakati wa uchaguzi wagombea wengine wanaambiwa wasigombee kwa sababu "they are from nowhere" ukikiendekeza utaishia kuwa tambaa la deki.