Jamani naomba tuache UNAFKI!!! Hivi ili neno la wapiga dili mnalitoa wapi??? Hem tutumieni vichwa vyetu bas kupembua mambo!!!! Mfano:-
A) uhamisho wa watumishi wa umma kwa kujiamisha wenyewe (kujigharamia) umezuiliwa, hivi kuna uhusiano gani kati ya kuzuia uhamisho kwa watumishi na wapiga dili na maisha kuwa magumu???
B) kusitishwa kwa ajira mpya za vijana, amabao idadi yake inajulikana tena kwa muda wa miaka miwili kuna husiana nini na hali ya maisha kuwa ngumu????
C)kukosekana kwa incriment ambayo imetajwa kisheria, narudia KISHERIA kuna husiano gani na wapiga dili???
D)Kuzuia upandishwaji wa madaraja ya watumishi(promotion) hasa kundi la watumishi wenye mishahara midogo na wapiga madili Kuna uhusiano gani???
E) hivi hao wapiga madili wanao kwamisha hayo yote mpkasasa ni wangapi wamesha fikishwa mahakamani kujibu tuhuma na usumbufu kwa kundi kubwa la watu hawa????
F)Hivi hao wapiga dili walikua chini ya serikali ya chama gani??? Na kwa muda gani? Nakama wamelelewa na hiyo serikali, iyo serikali iko wapi, na serikali iliyopo inafanya nini kuhakikisha hawa watu wanakwenda jela kwa upigaji dili wao???
G)kama sheria inamtaka mwajiri kutimiza matakwa ya kupandisha madaraja watumishi, kuongeza incriment kwenye mishahara kwa kila mwaka wa fedha, serikali inatumia sheria ipi, iliyotungwa na bunnge lipi kusitisha yote hayo yaliyotamkwa na sheria ya sasa iliyopitishwa na hao hao serikali???
F)ivi ni mabadiliko gani yanayofanywa yanayo hitaji kuzuia haki za msingi zote za kisheria za mtumishi wa umma bila kutoa ukomo ama waraka wa kiutumishi kuhusu mabadiliko fatwa????
Ifike mahala tusiwe wanafki!!!! Serikali inakosea! na inadharau watumishi wake kwa makosa na uzembe wake yenyewe!!!!
Nyie mnao sema wafanyakazi walizoea vya bure ama madili,,, naomba niwape mda!!! Maaana hawa ndio mnawauzia sabuni, mafuta ya kula, mnawapangisha nyumba, mnawauzia nguo, simu, mnawalimia mashamba, mnawasaidia kazi za nyumbani, mnawajengea vibanda na nk!!! hawa mnaowacheka leo na kufuraia kushuka kwao wakikosa leo kesho mrija niuleule utawafikia!!!
Bahati nzuri wao watakua washaizoea hali hii maaana ni almost mwaka mzima mpaka sasa wao wanaendelea kupata maumivu!!! Zamu yenu yaja!!!! Subirini mtaona!!!! Muda ni msema kweli!!!!
SERIKALI MNAPASWA KUBADILIKA!!! HUU MFUMO UNA MAZURI MACHACHE NA MAPUNGUFU MENGI!!!! JITAFAKARINI!!! Iyo heshima mnayo itafuta mtaijutia maana umasikini unarudi kwa kasi ya ajabu!!!! Alamsiki