Ushauri wangu kwa watumishi wa umma

Ushauri wangu kwa watumishi wa umma

Kuna mwenzako hata hicho kipindi unachokiita cha "wapiga dili" alikuwa hapati hela kwa sababu hakuwa kwny chain ya dili, japo hali ya maisha ilikuwa afadhali kdg kwa sababu hao unaowaita wapiga dili walirahisisha upatikanaji wa hela, kwmb hata akifanya biashara, uwezekano wa kuuza sana upo. Leo hali ya maisha ni ngumu, na hao wapiga dili wamedoda, halafu mtu unamwambia asubiri kufaidi matunda. Kweli?? Matunda yapi?? Lini?? Ya viongozi gani?? Au hujui kwmb kila kiongoz anawapa presha presha hao wafanyakazi wa umma. Na viongozi hao hao kma kina Makonda wanashaur wafanyakaz hao hao wa umma wapunguzwe, halafu ww unasema wasubiri kufaidi matunda. SERIOUSLY???
 
UFAFANUZI.
1/Sio kweli kuwa Ugumu wa Maisha unawapata zaidi wapiga dili kwa kipindi hichi. Karibu kila mtanzania kwa sasa analalamika ugumu wa maisha.

2/Watumishi wa Umma kwa sasa wanakumbana na
- Makato makubwa kwenye Mshahara
-Kutokupandishwa Vyeo
-Kutokuongezwa Mshahara
-Kutokulipwa kwa stahili zao
-Kuzuiwa uhamisho
-Kufutwa kwa Marupurupu yao yaliyokuwepo kisheria
-Kutumikishwa kama Punda
-Kufanya kazi kwa Woga wa kufukuzwa
-kufutwa kwa fao la kujitoa
-Kutokujua hatma yao ya kesho na keshokutwa.

Mambo hayo yote yanamkuta mtumishi yoyote wa Umma, uwe mpiga dili au mtakatifu, chamoto lazima ukipate.

3/Sio Kweli kabisa kuwa ugumu wa maisha ya sasa ya mtanzania umeletwa na kupungua kwa madili. Ni suala la Mfumo mzima wa utawala kushindwa kuhimili mdororo wa kiuchumi kilioutengeneza.
Kama Hospitali kumefikia hatua ya kukosa mpaka chanjo, Maelfu ya wanachuo kukosa Mkopo, Benki za serikali kufilisika, Pesa za rambirambi kuliwa na serikali nk. Hatuwezi kusema ni matokeo ya madili kupungua.

ONYO.
-Tusije na majibu rahisi kwenye maswali magumu.
-Tusidhihaki watumishi wa Umma wanaolia njaa kwa kuwaambia "Wafanye kazi kwa bidii ili wafanikiwe", wakati mshahara ni ule ule hata kama watafanya kazi usiku na mchana kila siku.
 
Asiyeshirikisha vizuri ubongo wake hawezi kuyaelewa hayo. Ni kama wale wanaofuata mkumbo huku wakiimba kale kawimbo ka Mzee wa Msituni lakini baada ya dk chache analalama eti Brother M kazuia pesa.
 
Wew ufiche chakulA#pesa useme watu tuvulie njaa kilakitu kina ishara

Hakuna anaewez vumilia njAa
 
Habarini wanajamvi. Nimejitokeza baada yakusikia watumishi wa umma wakilalamika maisha magumu na pia wakilalamika hawatendewi haki. Naombeni niwashauri kitu ndugu zetu. Hiki ni kipindi cha mpito hiki ni kipindi ambacho iga dili wataumia sana na waliokua wakiteseka watafaidimatunda ya matendo mema ya viongozi wetu. Ni imani yangu zamu yenu ninyi watumishi wa umma itakuja ila subira ni ngumu hasa kipind8 ambacho haujui utasubiri kwa muda gani. Jitahidini kufanya kazi kwa bidiii tena kwa moyo mkuu tuachane na malalamiko ya wapiga dili na walio zoea vya bure wachache. Pamoja nchi yetu itaenda mbele. Asanteni
Jamani naomba tuache UNAFKI!!! Hivi ili neno la wapiga dili mnalitoa wapi??? Hem tutumieni vichwa vyetu bas kupembua mambo!!!! Mfano:-

A) uhamisho wa watumishi wa umma kwa kujiamisha wenyewe (kujigharamia) umezuiliwa, hivi kuna uhusiano gani kati ya kuzuia uhamisho kwa watumishi na wapiga dili na maisha kuwa magumu???

B) kusitishwa kwa ajira mpya za vijana, amabao idadi yake inajulikana tena kwa muda wa miaka miwili kuna husiana nini na hali ya maisha kuwa ngumu????

C)kukosekana kwa incriment ambayo imetajwa kisheria, narudia KISHERIA kuna husiano gani na wapiga dili???

D)Kuzuia upandishwaji wa madaraja ya watumishi(promotion) hasa kundi la watumishi wenye mishahara midogo na wapiga madili Kuna uhusiano gani???

E) hivi hao wapiga madili wanao kwamisha hayo yote mpkasasa ni wangapi wamesha fikishwa mahakamani kujibu tuhuma na usumbufu kwa kundi kubwa la watu hawa????

F)Hivi hao wapiga dili walikua chini ya serikali ya chama gani??? Na kwa muda gani? Nakama wamelelewa na hiyo serikali, iyo serikali iko wapi, na serikali iliyopo inafanya nini kuhakikisha hawa watu wanakwenda jela kwa upigaji dili wao???

G)kama sheria inamtaka mwajiri kutimiza matakwa ya kupandisha madaraja watumishi, kuongeza incriment kwenye mishahara kwa kila mwaka wa fedha, serikali inatumia sheria ipi, iliyotungwa na bunnge lipi kusitisha yote hayo yaliyotamkwa na sheria ya sasa iliyopitishwa na hao hao serikali???

F)ivi ni mabadiliko gani yanayofanywa yanayo hitaji kuzuia haki za msingi zote za kisheria za mtumishi wa umma bila kutoa ukomo ama waraka wa kiutumishi kuhusu mabadiliko fatwa????

Ifike mahala tusiwe wanafki!!!! Serikali inakosea! na inadharau watumishi wake kwa makosa na uzembe wake yenyewe!!!!

Nyie mnao sema wafanyakazi walizoea vya bure ama madili,,, naomba niwape mda!!! Maaana hawa ndio mnawauzia sabuni, mafuta ya kula, mnawapangisha nyumba, mnawauzia nguo, simu, mnawalimia mashamba, mnawasaidia kazi za nyumbani, mnawajengea vibanda na nk!!! hawa mnaowacheka leo na kufuraia kushuka kwao wakikosa leo kesho mrija niuleule utawafikia!!!

Bahati nzuri wao watakua washaizoea hali hii maaana ni almost mwaka mzima mpaka sasa wao wanaendelea kupata maumivu!!! Zamu yenu yaja!!!! Subirini mtaona!!!! Muda ni msema kweli!!!!

SERIKALI MNAPASWA KUBADILIKA!!! HUU MFUMO UNA MAZURI MACHACHE NA MAPUNGUFU MENGI!!!! JITAFAKARINI!!! Iyo heshima mnayo itafuta mtaijutia maana umasikini unarudi kwa kasi ya ajabu!!!! Alamsiki
 
Jamani naomba tuache UNAFKI!!! Hivi ili neno la wapiga dili mnalitoa wapi??? Hem tutumieni vichwa vyetu bas kupembua mambo!!!! Mfano:-

A) uhamisho wa watumishi wa umma kwa kujiamisha wenyewe (kujigharamia) umezuiliwa, hivi kuna uhusiano gani kati ya kuzuia uhamisho kwa watumishi na wapiga dili na maisha kuwa magumu???

B) kusitishwa kwa ajira mpya za vijana, amabo idadi yake inajulikana tena kwa muda wa miaka miwili kuna husiana nini na hali ya maisha kuwa ngumu????

C)kukosekana kwa incriment ambayo imetajwa kisheria, narudia [HASHTAG]#KISHERIA[/HASHTAG], kuna husiano gani na wapiga dili???

D)Kuzuia upandishwaji wa madaraja ya watumishi(promotion) hasa kundi la watumishi wenye mishahara midogo na wapiga madili Kuna uhusiano gani???

E) hivi hao wapiga madili wanao kwamisha hayo yote mpkasasa ni wangapi wamesha fikishwa mahakamani kujibu tuhuma na usumbufu kwa kundi kubwa la watu hawa????

F)Hivi hao wapiga dili walikua chini ya serikali ya chama gani??? Na kwa muda gani? Nakama wamelelewa na iyo serikali iyo serikali iko wapi, na serikali iliyopo inafanya nini kuhakikisha hawa watu wanakwenda jela???

G)kama sheria inamtaka mwajiri kutimiza matakwa ya kupandisha madaraja watumishi, kuongeza incriment kwenye mishaara kwa kila mwaka wa fedha, serikali inatumia sheria ipi, iliyo tungwa na bunnge lipi kusitisha yote hayo yaliyo tamkwa na sheria ya sasa iliyo pitishwa na hao hao serikali???

F)ivi ni mabadiliko gani yanayo fanywa yanayo itaji kuzuia haki za msingi zote za kisheria za mtumishi wa umma bila kutoa ukomo ama waraka wa kiutumishi kuhusu mabadiliko fatwa????

Ifike mahala tusiwe wanafki!!!! Serikali inakosea! na inadharau watumishi wake kwa makosa na uzembe wake yenyewe!!!!

Nyie mnao sema wafanya kazi walizoea vya bure ama madili,,, naomba niwape mda!!! Maaana hawa ndio mnawauzia sabuni, mafuta ya kula, mnawapangisha nyumba, mnawauzia nguo, simu, mnawalimia mashamba, mnawasaidia kazi za nyumbani na nk!!! hawa mnao wacheka leo na kufuraia kushuka kwao wakikosa leo kesho mrija niuleule utawafikia!!!

Bahati nzuri wao watakua washaizoea hali maaana ni almostmwaka mzima mpaka sasa wao wanaendelea kupata maumivu!!! Zamu yenu yaja!!!! Subirini mtaona!!!! Muda ni msema kweli!!!!

SERIKALI MNAPASWA KUBADILIKA!!! HUU MFUMO UNA MAZURI MACHACHE NA MAPUNGUFU MENGI!!!! JITAFAKARINI!!!
Mbona unalalama sana wacha heshima irudi mtaani hawa wanaosema maumivu mbona sisi tuliojiajiri hatuyaoni. Inshort tulishazoea kitambo kuishi hivi ila wageni ndio kwasasa mmekua wengi kwenye hii hali. Ndugu yangu kinyesi cha ngombe hakimnukii mwenye boma nyie mlijisahau mkaona wengine wananuka sasa mmekuja bomani mnapiga kelele za harufu. Labda nikuambie tu huku ndipo palivyo usipofanya kazi huku hamna madokezo wala vikao vya kupata hela ya burebure na huku hakuna pesa za dili huku ni kutumia nguvu na kujibana ndio kunaamua mshindi. WATUMISHI WA UMMA NIWAOMBE MSIFE MOYO HIKI KIPIND8 MKIKIZOEA NA KUVUMILIA WATOTO WETU WATAISHI KWA RAHA SANA .Mwenye macho na ayaone haya ila wapiga dili wataendelea kuona wanaonewa
 
Wew ufiche chakulA#pesa useme watu tuvulie njaa kilakitu kina ishara

Hakuna anaewez vumilia njAa
Sisi mbona tulivumilia miaka nenda rudi mkiwa mnapiga dili na kupata pesa za bure bure
 
Kakojoe na uchambe ukitoka huko ukung'ute miguu ulale, subira hiyo subira gani isiyokua na Mwisho? Mnatugeuza Ma toi eeh, bora mkae kimya mtuache tulalamike maana tunatimiza moja ya Pillar of Democracy that is Freedom of speech ....
Sasa kama unaona unaonewa kwanni usiache hiyo kazi unayoonewa nayo. Au ndio machungu ya uzazi raha kulea mwana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sisi mbona tulivumilia miaka nenda rudi mkiwa mnapiga dili na kupata pesa za bure bure
Hakuna pesa ya serikali ya bure tangia nchi imepata uhuru .ungekuta wote tumepgwa chini mkuu

Pesa inayopatkn kwasasa niyamshara hadi mafuta saa zngine unatoa mfukon kwako
 
Hakuna pesa ya serikali ya bure tangia nchi imepata uhuru .ungekuta wote tumepgwa chini mkuu

Pesa inayopatkn kwasasa niyamshara hadi mafuta saa zngine unatoa mfukon kwako
Hali hiyo mnayoilalamikia iwe funzo la kujiongeza na kunyakua fursa. Wengi wa watumishi wa umma walikuwa hawajihusishi na shughuli za kijamiii kwakua walitosheka na kupata kufuja mali kwa hela za bire na za dili sasa zimekauka hata zile stori za mke wa mtu kaibiwa umezisikia tena!!!
 
Ila kweli mkuu nasikia mke wa mtu sikuhizi aibiwi atakama mume wake ameenda abroad
 
UKITAKA KUJUA HATA MSHAHARA ULIONAO SASAHIVI NI DILI NJOO MTAANI ANZISHA BIASHARA UKIWEZA KUPATA PATO KWA MWEZI KAMA MSHHAHARA WAKO UNAOLIPWA OFISINI BAAASI WEWE SIO MPIGA DILI ILA UKISHINDWA WEWE UTAKUA ULIKUA MPIGA DILI NA UMEZOEA PESA ZA BWERERE
 
Habarini wanajamvi. Nimejitokeza baada yakusikia watumishi wa umma wakilalamika maisha magumu na pia wakilalamika hawatendewi haki. Naombeni niwashauri kitu ndugu zetu. Hiki ni kipindi cha mpito hiki ni kipindi ambacho iga dili wataumia sana na waliokua wakiteseka watafaidimatunda ya matendo mema ya viongozi wetu. Ni imani yangu zamu yenu ninyi watumishi wa umma itakuja ila subira ni ngumu hasa kipind8 ambacho haujui utasubiri kwa muda gani. Jitahidini kufanya kazi kwa bidiii tena kwa moyo mkuu tuachane na malalamiko ya wapiga dili na walio zoea vya bure wachache. Pamoja nchi yetu itaenda mbele. Asanteni
Hakuna mtumishi wa umma anayelalamika kuwa maisha magumu acha kuwahadaa walimwengu.

Maisha ni kama yalivyokuwa juzi,Jana na Leo kama kawaida tu.
 
Mbona unalalama sana wacha heshima irudi mtaani hawa wanaosema maumivu mbona sisi tuliojiajiri hatuyaoni. Inshort tulishazoea kitambo kuishi hivi ila wageni ndio kwasasa mmekua wengi kwenye hii hali. Ndugu yangu kinyesi cha ngombe hakimnukii mwenye boma nyie mlijisahau mkaona wengine wananuka sasa mmekuja bomani mnapiga kelele za harufu. Labda nikuambie tu huku ndipo palivyo usipofanya kazi huku hamna madokezo wala vikao vya kupata hela ya burebure na huku hakuna pesa za dili huku ni kutumia nguvu na kujibana ndio kunaamua mshindi. WATUMISHI WA UMMA NIWAOMBE MSIFE MOYO HIKI KIPIND8 MKIKIZOEA NA KUVUMILIA WATOTO WETU WATAISHI KWA RAHA SANA .Mwenye macho na ayaone haya ila wapiga dili wataendelea kuona wanaonewa
Kasome tena nilicho kiandika na ulicho kijibu utagundua uwezo wako wa kufikiri ukoje!!!!!
 
Watumishi wanachangamoto nyingi ns hizijawahi kutiliwa maanani sio kwamba walizoe madili no bali mfumo umewajenga kuwa wapigaji,mfano mzuri makonda ksunga unga shule sababu ya upambe upambe anapewa cheo kisicho mstahili imagine nafasi kama hizo zisingekuwa teuzi za asante bali ni kazi inatangazwa wanatafutwa wabobezi!!kuna mengi tu mfanyakazi watanzania hana tax holiday mpaka anakufa,anakatwa kodi,bima ya afya,hela mfuko wa pesheni,bodi ya mikopo,chama cha wafanyakazi,mwenge ukija achangie,nauli za kila siku,bili ya umeme alipe,unga wa ugali anakatwa kodi,vocha,tv.miamala ya kifedha,kodi ya nyumba n.k alafu mshahara una digits sita au tano alafu bado kazi anayofanya haina hata motisha posha zinafutwa kama sio kuounguzwa!! tuwe wakweli tuache unazi na unafiki
 
Back
Top Bottom