hata zile enzi za ''mashabora kwa kila mtanzania '' mlituambia ivi ivi lkn kiko wapi.Habarini wanajamvi. Nimejitokeza baada yakusikia watumishi wa umma wakilalamika maisha magumu na pia wakilalamika hawatendewi haki. Naombeni niwashauri kitu ndugu zetu. Hiki ni kipindi cha mpito hiki ni kipindi ambacho iga dili wataumia sana na waliokua wakiteseka watafaidimatunda ya matendo mema ya viongozi wetu. Ni imani yangu zamu yenu ninyi watumishi wa umma itakuja ila subira ni ngumu hasa kipind8 ambacho haujui utasubiri kwa muda gani. Jitahidini kufanya kazi kwa bidiii tena kwa moyo mkuu tuachane na malalamiko ya wapiga dili na walio zoea vya bure wachache. Pamoja nchi yetu itaenda mbele. Asanteni
Mkuu ata annual increment iliyopo kisheria kwenye barua zetu za ajira nayo ilikuwa deal?? Achen kutugeuza kama watoto wadogo sisi.Habarini wanajamvi. Nimejitokeza baada yakusikia watumishi wa umma wakilalamika maisha magumu na pia wakilalamika hawatendewi haki. Naombeni niwashauri kitu ndugu zetu. Hiki ni kipindi cha mpito hiki ni kipindi ambacho iga dili wataumia sana na waliokua wakiteseka watafaidimatunda ya matendo mema ya viongozi wetu. Ni imani yangu zamu yenu ninyi watumishi wa umma itakuja ila subira ni ngumu hasa kipind8 ambacho haujui utasubiri kwa muda gani. Jitahidini kufanya kazi kwa bidiii tena kwa moyo mkuu tuachane na malalamiko ya wapiga dili na walio zoea vya bure wachache. Pamoja nchi yetu itaenda mbele. Asanteni
MWALIMU anaiba nn?Watumishi wa umma wezi sana mkuu kazi nut