Ushauri wangu kwa wanaume


Such a hopeless person,pole sana
 
Jamani naomben msaada mm mbona nashindwa kupost mada hapa jf nisaidie huwa mnafanyeje ?
 
Jamani naomben msaada mm mbona nashindwa kupost mada hapa jf nisaidie huwa mnafanyeje ?

Ukishafungua jukwaa mfano MMU hapo juu kabisa utaona maneno yanayosema "New topic" click hapo halafu pakifunguka utaona sehemu ya title na main body, kazi kwako.
 
Ushauri mzuri, ila umeharibu hapo "kumbuka kutumia kondom" mimi situmii hiyo kitu, ni kagoli kamoja tu chini ya dakika 5 halafu sitaki tena mpaka baada ya siku 2 au 3.
 

pointless
 
Huu ushauri unatakiwa ukautoe wakati unapiga ile inaitwa "zungusha" na wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…