Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli

Hawa jamaa nimekutana nao wawili, yaani anaovetake anaingia upande wangu tupo uso kwa uso lakini anakomaa mm ndio inabidi nipite vichakani kumpisha.... ujinga wao utacost maisha ya watu siku moja.
Weka cctv camera kwenye gari
 
Elimu bila uzoefu ni sifuri
 
Mnaolalamika speed hiv mngepanda ngorika,
Buffalo enz hzo unakanyaga mosh saa sita
Cjui kama mngerudia

Pia dar express nliwah toka
Rombo nliingia dar saa nane na nusu
Ilikua balaaa yani
Meridian ya Rombo ishaingia dar saa 5.

Miaka ile barabara ya Msata haikuwepo.
 
Wiki mbili zilizopita wameingia Morogoro saa 2:47 asubuhi wakitokea Dar, wakabana maeneo ya oilcom
Hivyo hivyo utsjikuta chumba cha maiti muda kama huo !!! Ni suala LA muda tuu !! Endeleeni na ushamba wenu kama watoto wa darasa LA tatu
 
Mwaka 2013 tushawahi kufika ubungo saa 9 kasoro kutokea Njombe na BUDGET.
Ila mimi binafsi huwa napenda basi linalotembea, sio unapanda basi unakuta njiani mnapitwa tu.
 
Mimi nadhani sasa hivi ingekuwa ni lazima magari yote yafungwe cameras mbele na nyuma. Ni rahisi kupunguza ajali na kupata ushahidi wa matukio mengi barabarani
Hawa jamaa nimekutana nao wawili, yaani anaovetake anaingia upande wangu tupo uso kwa uso lakini anakomaa mm ndio inabidi nipite vichakani kumpisha.... ujinga wao utacost maisha ya watu siku moja.
 
SUMATRA ndiyo akina nani hao?wanahusikaje na madereva au mimi ndo sielewi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…